Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mkuu CHADEMA bado ngangari ndani na nje ya Bunge ndiyo sababu wameamua kuongoza nchi kwa mtutu wa bunduki kwa woga mkubwa waliokuwa nao dhidi ya CHADEMA.

Hawana sera hawana hoja sasa wamebaki kukurupuka na mwendo kasi huku nchi ikienda Alijojo. Nadhani umewasikia wazee wa CCM akina Mwinyi, Warioba na Butiku kuhusu huyu dikteta uchwara.

CHADEMA iliitwa chama cha Wachagga na wakristo lakini ikaendelea kupendwa na Watanzania wengi, ikafanyiwa kila hila na manyanyaso dhidi ya viongozi na wanachama lakini bado ikaendelea kukua tu. Ikatabiriwa kufa mara chungu nzima na wale waliojivalisha majoho ya Sheikh Yahya lakini utabiri wao ulikuwa ni utabiri uchwara. CHADEMA ngangari daima.
Katika watu wasiyo na chembe ya aibu ni wewe mkuu,Chadema ipo ngangari ndani na nje ya Bunge? Msipochukua hatua chama kinaenda kufa. Mbowe kawajaza upepo mkajaa kama maputo.
 
Sasa kama isingekuwa ngangari huyo dikteta uchwara angejificha nyuma ya mtutu wa bunduki!? Anaogopa nini kudeal na CHADEMA bila ya mtutu wa bunduki kama CHADEMA si ngangari!? Tia akili kichwani. Dikteta uchwara kamwe hawezi kuogopa chama midabwada kama TPL. Umeshawahi kuona TPL wanaelekezewa mtutu wa bunduki au mazoezi a polisiccm kupambana na TPL!?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] imekuwa ni jukumu la msajili tena? Hivi katibu wa chama ana majukumu gani? Tangu mlivyomkaribisha yule mgombea urais wenu chama kimepoteza muelekeo.

I hate people who runs into the weeds....
 
Sasa kama isingekuwa ngangari huyo dikteta uchwara angejificha nyuma ya mtutu wa bunduki!? Anaogopa nini kudeal na CHADEMA bila ya mtutu wa bunduki kama CHADEMA si ngangari!? Tia akili kichwani. Dikteta uchwara kamwe hawezi kuogopa chama midabwada kama TPL. Umeshawahi kuona TPL wanaelekezewa mtutu wa bunduki au mazoezi a polisiccm kupambana na TPL!?
Mkuu ni lini serikali ya CCM wamewahi kutoa uhuru kwa vyama vya siasa? Mmesahau mabomu Arusha, vifo vya makamanda, Mwangosi n.k? Hata enzi za Kikwete vichapo vilikuwa pale pale lakini leo mnageuka na kumfanya Kikwete malaika na JPM dikteta tena viongozi wanatamka maneno haya mkitaka wananchi wawaelewe! Chadema imekosa uelekeo, ushawishi na hata moral authority kukemea ufisadi. Amkeni, pigeni kelele ili viongozi wabadilike lakini mkiendelea na mapambio inyeshe mvua isinyeshe itabaki aibu!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kwa akili yako mbovu wewe unaona chadema imekosa uelekeo. Chama kilichokosa uelekeo kamwe hakiwezi kuogopwa na kile ambacho kipo madarakani. Chama kilichokosa uelekeo hakiwezi kuisababisha Serikali iliyoko madarakani kutumia mabilioni ya pesa ili kugharamia mazoezi ya polisi ili tu kuzuia maandamano halali ambayo hata katiba ya nchi inaruhusu. Chama kilichokosa uelekeo hakiwezi kusababisha chama kilichoko madarakani kutumia uhuni na ujambazi kuiba umeya wa wa miji mbali mbali nchini ambapo hakikushinda. Tuliza akili kichwani ACHANA NA KUKURUPUKA. Chama kilichokosa uelekeo ni TLP hata siku moja hutaona Serikali inatumia hata senti moja kupambana nacho hata kiitishe maandamano nchi nzima. CCM wanaiogopa CHADEMA na ushahidi uko chungu nzima ndiyo maana sasa wameamua kutumia mtutu wa bunduki baada ya propaganda zao chafu dhidi ya CHADEMA kwamba ni chama cha wachagga na wakristo kushindwa na CHADEMA kuendelea kuchanja mbuga.

CDM imefulia kisera mpaka inasikitisha!! Chambo ya CCM imemezwa ipasavyo! Hawana Sera wala msimamo wao uliowapa makuzi na heshima mbele ya Jamii. Kile walichoishambulia CCM ndicho wanachofanya masikini! Kupaka rangi mkaa ili uwe theluji!!! Aibu kubwa!!
 
Kwa akili yako mbovu wewe unaona chadema imekosa uelekeo. Chama kilichokosa uelekeo kamwe hakiwezi kuogopwa na kile ambacho kipo madarakani. Chama kilichokosa uelekeo hakiwezi kuisababisha Serikali iliyoko madarakani kutumia mabilioni ya pesa ili kugharamia mazoezi ya polisi ili tu kuzuia maandamano halali ambayo hata katiba ya nchi inaruhusu. Chama kilichokosa uelekeo hakiwezi kusababisha chama kilichoko madarakani kutumia uhuni na ujambazi kuiba umeya wa wa miji mbali mbali nchini ambapo hakikushinda. Tuliza akili kichwani ACHANA NA KUKURUPUKA. Chama kilichokosa uelekeo ni TLP hata siku moja hutaona Serikali inatumia hata senti moja kupambana nacho hata kiitishe maandamano nchi nzima. CCM wanaiogopa CHADEMA na ushahidi uko chungu nzima ndiyo maana sasa wameamua kutumia mtutu wa bunduki baada ya propaganda zao chafu dhidi ya CHADEMA kwamba ni chama cha wachagga na wakristo kushindwa na CHADEMA kuendelea kuchanja mbuga.
Kwanini hamkuandamana? Hii ilikuwa mara ya kwanza kupigwa biti na polisi? Unakumbuka mkesha wa NMC Arusha? Palikuwa na Kibali cha polisi? Ile ilikuwa Chadema yenye nguvu ya umma si hii. Alafu ujue kufeli kwa UKUTA ndio ilikuwa another downfall ambayo effect yake ni kuzidi kupungua kwa imani ktk kusimamia maazimio yenu kwa vitendo. Ndio maana hata issue ya umeya ni kama hakuna kilichotokea pamoja na uwepo wa nguvu kubwa ya social media. Mitandaoni ratio iliyokuwa inawaunga mkono imeshuka kwa kiwango cha kutisha na huwezi kubeza trend ya mitandao hasa hapa JF. Kubalini ukweli badala ya kushupaza shingo kama ilivyokuwa CCM iliyokaribia kupoteza dola. Fanyieni kazi ushauri wa watu badala ya kujibu kwa matusi badala ya hoja.
 
Una akili fupi sana ya kutaka kuonyesha ratio ya wanaounga mkono CHADEMA imeshuka wakati huna hata namba za uthibitisho wa kile ulichokiandika. Kwa matukio ya miezi sita or so iliyopita tayari umeshahitimisha kwamba CHADEMA imekosa muelekeo. Mapambano ya kuikomboa nchi toka kwa wahuni, mafisadi, wezi wala rushwa hayachukui miezi na ni mapambano ya muda mrefu yanayohitaji uvumilivu wa hali ya juu, hekima, busara na mikakati makini na siyo kama unavyodhani wewe kwamba mapambano hayo yanafanikiwa kwa kipindi kifupi. Tuliza akili acha kukurupuka na kuja na dhana zako potofu.

Acha kupiga siasa kwenye issues ambazo zipo wazi na unajua. Wewe ni mkongwe sana tu humu. Chadema inaungwa mkono humu kwa kiwango kile kile? Ushawishi wa chama hauhitaji takwimu pekee kujua hali ya kisiasa. Mliwahi kuja na takwimu gani kujua chama chenu kinaungwa mkono na kinaweza kushinda uchaguzi? Siasa ni uhalisia unaoweza kuupima kirahisi sana. Pia vitu vingine viko dhahiri kamanda, kwa mfano nikikuuliza sasa hivi bado mnasimamia mliyosimamia miaka kadhaa iliyopita? Sasa ukihoji wananchi wa kawaida tena hata wanachama wanajua mnasimamia nini au kuna operations gani sasa hivi za kujenga chama? Zamani ilikuwa ni rahisi kujua chama kinafanya nini walau updates za viongozi wakiwa ktk harakati za kuimarisha chama. Mazingira ya kunyimwa vibali yalikuwa haya haya ....kichapo kilikuwa pale pale labda mmeanza kusahau.
 
Wapi napiga siasa wewe? Wewe umesema ratio ya wanaounga mkono CHADEMA imeshuka weka huo uthibitisho wako badala ya kukurupuka tu. Acha kuandika pumba zako humu halafu ukiambiwa ulete uthibitisho unaanza kujibaraguza.

Hahahahaha siasa ni uhalisia unaoweza kuupima kirahisi lol! Hebu twambie huo urahisi ambao mwenzetu unautumia.

Hizo takwimu wewe zinakuhusu nini wakati si mwanachama wa CHADEMA!?

Acha kupiga siasa kwenye issues ambazo zipo wazi na unajua. Wewe ni mkongwe sana tu humu. Chadema inaungwa mkono humu kwa kiwango kile kile? Ushawishi wa chama hauhitaji takwimu pekee kujua hali ya kisiasa. Mliwahi kuja na takwimu gani kujua chama chenu kinaungwa mkono na kinaweza kushinda uchaguzi? Siasa ni uhalisia unaoweza kuupima kirahisi sana. Pia vitu vingine viko dhahiri kamanda, kwa mfano nikikuuliza sasa hivi bado mnasimamia mliyosimamia miaka kadhaa iliyopita? Sasa ukihoji wananchi wa kawaida tena hata wanachama wanajua mnasimamia nini au kuna operations gani sasa hivi za kujenga chama? Zamani ilikuwa ni rahisi kujua chama kinafanya nini walau updates za viongozi wakiwa ktk harakati za kuimarisha chama. Mazingira ya kunyimwa vibali yalikuwa haya haya ....kichapo kilikuwa pale pale labda mmeanza kusahau.
 
...kuna wajinga humu wanasema chadema imekosa mwelekeo na popularity....nawaita wajinga kwa kuwa analysis yao inatakiwa iwe na relativity.....kwamba chadema wamepoteza mwelekeo relative to chama gani TZ?......maana hata hicho chama cha ccm chenyewe ambacho ndicho tawala sioni mwelekeo wake...zaidi ya kuona mwenyekiti wake akiendesha nchi kama 'one man show'.....

...nachoona na kinachoonekana kuwafanya naowaita wajinga kuona kwamba chadema imepoteza mwelekeo ni kwamba chadema imebadilisha strategy tu.....kwamba imebadili approach ya issues tofauti na ilivyokuwa inafanya zamani enzi za kina slaa....

...Unapokuwa na rais anayeendesha nchi namna tofauti ...tena kwa kuvikandamiza vyama vya upinzani ...lazima approach ya mambo kwenye vyama hivi iwe tofauti....Unategemea chadema ama cuf wa behave vipi pale ambapo hata uhuru wao wa kufanya siasa unapominywa???......tofauti ya sasa na zama hizo za chadema ni kwamba uhuru wa kufanya siasa kipindi hicho ulikuwepo ukilinganisha na sasa....hili ndilo halisemwi sasa na wanaoiponda chadema...so sad...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aisee kuna watu wanastaajabisha sana. Mtu anakurupuka na neno ratio halafu hizo ratio zake za alizozitoa hewani anashindwa kuziweka hapa ili kuthibitisha kauli yake. Bado safari ni ndefu sana Mkuu.

Back
Top Bottom