Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Sijui kama makamanda watakuvumilia....
 
Hivi kumbe ni kweli ktk wa tz4 mmoja ni chizi. Mtoa mada mi nakushauri anzisha chama chako ambacho bwana mkuu atakuruhusu kufanya mikutano, maandamano na ubunifu huo.
 
Nyani Ngabu unakuwa kama sio great thinker, unaona kabisa mtu kafungwa mikono na miguu ulingoni bado unalaumu eti hatupi ngumi, pathetic.
kama mmefungwa mikono na miguu ile mikwara ya kuandamna na tambo kibao mlizitoa wapi?
 
Hivi kumbe ni kweli ktk wa tz4 mmoja ni chizi. Mtoa mada mi nakushauri anzisha chama chako ambacho bwana ******************* atakuruhusu kufanya mikutano, maandamano na ubunifu huo.
Kama mlikuwa mnatii agizo mbona mliweka mikwara ya kusema lazima muandamane tarehe 1 october?
 
Nyani Ngabu unakuwa kama sio great thinker, unaona kabisa mtu kafungwa mikono na miguu ulingoni bado unalaumu eti hatupi ngumi, pathetic.
Kwa mpiganaji wa kweli hata akifungwa mikono na miguu kama anachokipigania kina mashiko bado ataendelea na kupigana tu hata kwa kung'ata na meno na kupiga vichwa.

Kupigana si ngumi na mateke tu.
 
....
......2020 Chadema hawahitaji kupiga kampeni indicators zinaonyesha ....people will follow the heavy blowing wind from North to East ....bora upime kila siku ujuwe presha ina msukumo gani...kuliko kusubiri....ni vigumu kumtambuwa binadamu anafikiri nini ....ukimya mwingi.....
 
Hapa CDM waliingia chaka. Sioni anachokifanya huyu jamaa.
Kabisa aisee. Kapooza mno.

Huyo siasa haziwezi. Siasa, hususan kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa chama kikubwa, zinahitaji watu wenye personality flani ya uchakarikaji, ujanja, na ari ya kwenda sambamba na yeyote yule.

Jamaa angebaki hospitalini kutibu wagonjwa tu.
 
Mkuu CHADEMA bado ngangari ndani na nje ya Bunge ndiyo sababu wameamua kuongoza nchi kwa mtutu wa bunduki kwa woga mkubwa waliokuwa nao dhidi ya CHADEMA.

Hawana sera hawana hoja sasa wamebaki kukurupuka na mwendo kasi huku nchi ikienda Alijojo. Nadhani umewasikia wazee wa CCM akina Mwinyi, Warioba na Butiku kuhusu huyu dikteta uchwara.

CHADEMA iliitwa chama cha Wachagga na wakristo lakini ikaendelea kupendwa na Watanzania wengi, ikafanyiwa kila hila na manyanyaso dhidi ya viongozi na wanachama lakini bado ikaendelea kukua tu. Ikatabiriwa kufa mara chungu nzima na wale waliojivalisha majoho ya Sheikh Yahya lakini utabiri wao ulikuwa ni utabiri uchwara. CHADEMA ngangari daima.

Au labda kwa kuwa mengi walikuwa wakiyaibulia bungeni, tunashindwa kuyasikia kwakuwa bunge limepigwa pini??
 
Kwa mpiganaji wa kweli hata akifungwa mikono na miguu kama anachokipigania kina mashiko bado ataendelea na kupigana tu hata kwa kung'ata na meno na kupiga vichwa.

Kupigana si ngumi na mateke tu.
Ok, kama ni hivyo ulimpongeza Lema alivyomgomea Gambo juzi?
 
Kama mlikuwa mnatii agizo mbona mliweka mikwara ya kusema lazima muandamane tarehe 1 october?
Kumbe unajua Chadema kinamipango mizuri halafu unasema viongozi hawana weredi ndo mana nkakwambia anzisha chama chako weka ubunifu huo umtaarifu na dicteta uchwara kuwa unafanya mikutano na maandamano.
 
Back
Top Bottom