Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,954
- 46,442
Umesema uko arusha?
Ndio nipo Arusha, naona unadandia pipe kwa mbele usiwe mvivu wa kusoma pitia mwanzo wa thread
Umesema uko arusha?
Mkuu Rejao, angalia sana hayo maeneo kirumba magomeni ndio maeneo ya wahuni na wauza unga kuna mateja sana wasije kukupora vitu vyako..
Wauza unga wote wa mwanza ndio wanapatikana hapo
mkuu rejao, angalia sana hayo maeneo kirumba magomeni ndio maeneo ya wahuni na wauza unga kuna mateja sana wasije kukupora vitu vyako..
Wauza unga wote wa mwanza ndio wanapatikana hapo
@ritz, kugawa vitu/misaada hakumkomboi mtu, kwani leo utagawa kesho hutaweza kugawa.leo hii tuna maisha magumu kwa kuwa CCM 2005 na 2010 waligawa T-SHIRTS, KOFIA, KANGA ili kubadilishana na kura za wananchi.
Wengi wao, nguo hizo hawajawahi kuzivua kwa kuwa hawana nyingine. lakini kama wangewezeshwa kiuchumi, kwanza wasingepokea, na wangekuwa na uwezo wa kujitegemea. waliuza SILKA yao kwa nguo za CCM .
kinachotakiwa ni kuwa na miundo mbinu inayomwezesha kila mtu kufanya kazi na kupata chakula kwa jasho lake mwenyewe. J.K kapumbaa na kukosa ubunifu kwa kuwa yeye anaamini maendeleo yatapatikana kwa kutembeza bakuli, kuomba misaada. hiyo ndiyo inayotugalimu.
Kitendo cha Lissu kuja Mwanza, wengi watapata elimu ya uraia, wengi watatamani 2015 ifike ili wachague uongozi wanaoamini utatatua kero za mda mrefu na hata upungufu wa chakula kwa walio wengi
mafisadi wakubwa nyie,kwahiyo mlitaka akafanyie mkutano kwa wezi wenzenu?kwani wauza dagaa sio watu?huo uselfish wenu kiama chake ni 2015.shame on you.
mimi sina tatizo na maneno yako lissu aangalie na jimbo lake kuna njaa sana
hana kabisa hoja,hiyo operesheni yakukamata pikpik imetangazwa zaid ya mwezi 1 sasa,kwanza hawana leseni,pia hazina bima wala hazijalipiwa tra je alitaka kwakua tundu lisu anahutubia waachwe wavunje sheria?zoezh la kukagua pikpik lipo sikuzote,kwa taarifa yake hizi habari za lissu kufanya mkutano mwanza zipohapa jf mwanza hakuna mwenye taarifa,we Ngwanagwa kama sijakosea jina huna hoja kabisa.Kweli hana hoja TRA wasitishe kazi zao za kukagua pikipiki za kichina kisa Tindu Lissu..wanachekesha
Kwa hili sisi emu mwanza watuache 2fie cdm.Tindu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni Mwanza leo,Wa2 nyomi mapema mapema.NAWAKILISHA![]()
![]()
![]()
ni kuzomewa mwanzo mwisho na wana UDSMkIKWETE ALIPATA AIBU IPI MKUU. pLS.
huyu atavuna aibu ya mwaka. watu washabadilika baada ya kugundua kwamba hiki ni chama cha watu wenye vurugu
Nenda uwe unatupa updates nasikia wanafanyia mwaloni pale uwanja wa mpira magomeni..
Tundu Lissu, bana kaacha jimbo lake kuna njaa anazunguka tu hovyo
Anaanda mazingira ya kujiandikia posho. Wazi mtupu!!.
Comrade Mzee,
Unajua Tindu Lissu anashangaza sana kwa nini hizo posho anazopekea Mwanza na gharama wanazotumia kuandaa maandamano..
Kwa nini wasinunue magunia mahindi na mahragwe wakagawe jimboni kwake Singida watu wanakufa njaa..
Hivi ili hawalioni hawa magwanda
Ha! Ha! Ha! Kachanganyikiwa njaa mbaya mimi nipo Arusha mpaka jumatatu, nimefikia pale Kibo palace hotel kwa mwana chadema yoyote anataka kuonana na mimi namkaribisha