Mwanza: Tundu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni

Sasa mbona kaenda kufanyia mkutano Magomeni mwaloni sehemu ndogo..

Kwa nini wasifanyie Furahisha au Sahara au Mirongo au wanahofia kukosa watu, wamemeamua wakafanyie kwa wauza dagaa!

embu mpigie bosi wako Nepi akujibu.Vipi leo uko shift ya mchana?
 
Nipo mwanza..but nipo kiproffessional zaidi. Ngoja nimalizane na hapa PPF then niende kusikiliza hizo pumba za huyu jamaa. Sijui ataanzisha tena maandamano!!

Nenda uwe unatupa updates nasikia wanafanyia mwaloni pale uwanja wa mpira magomeni..

Tundu Lissu, bana kaacha jimbo lake kuna njaa anazunguka tu hovyo
 
Sasa mbona kaenda kufanyia mkutano Magomeni mwaloni sehemu ndogo..

Kwa nini wasifanyie Furahisha au Sahara au Mirongo au wanahofia kukosa watu, wamemeamua wakafanyie kwa wauza dagaa!

kwani Nape alifanyia mkutano wake wapi!?
 
Sasa mbona kaenda kufanyia mkutano Magomeni mwaloni sehemu ndogo..

Kwa nini wasifanyie Furahisha au Sahara au Mirongo au wanahofia kukosa watu, wamemeamua wakafanyie kwa wauza dagaa!

haa haah tuko makini ni mani tu mani kaka, alimopita nape na sisi tuna likita palepale ila wananchi wa eneo husika wapembue pumba na mchele riz
 
Sasa mbona kaenda kufanyia mkutano Magomeni mwaloni sehemu ndogo..

Kwa nini wasifanyie Furahisha au Sahara au Mirongo au wanahofia kukosa watu, wamemeamua wakafanyie kwa wauza dagaa!
Anafanyia Magomeni kwa sababu Nape alifanyia hapo.
 
Nenda uwe unatupa updates nasikia wanafanyia mwaloni pale uwanja wa mpira magomeni..

Tundu Lissu, bana kaacha jimbo lake kuna njaa anazunguka tu hovyo
Lazima nihudhurie huo mkutano mkuu.
Jamaa anaogopa kurudi jimboni kwake.
 
Unanifananisha na Ritz..
Nipo Mwanza

Ha! Ha! Ha! Kachanganyikiwa njaa mbaya mimi nipo Arusha mpaka jumatatu, nimefikia pale Kibo palace hotel kwa mwana chadema yoyote anataka kuonana na mimi namkaribisha
 
Kitu nilichokigundua humu jamvini 99% wanaoipinga Chadema ni CUF na wala si CCM. Sijui ndo kusema wanataka waonekane wanauchungu sana na Mume wao au vipi!

siongozwi na fikra za kishabiki.
 
Lazima nihudhurie huo mkutano mkuu.
Jamaa anaogopa kurudi jimboni kwake.

Ninavyo wajua CDM lazima watakwenda kuwachukuwa wale wavuvi wa Dagaa pale mwaloni na wahuni wa kabuoro kule milimani waje kujaza kale kauwanja ka mpira, na wale machinga wanaoshinda hapo
 
Nipo mwanza..but nipo kiproffessional zaidi. Ngoja nimalizane na hapa PPF then niende kusikiliza hizo pumba za huyu jamaa. Sijui ataanzisha tena maandamano!!

Kama ni pumba unaenda kuzisikiliza za nini? huoni kama wewe ndo utakuwa hamnazo/ bora tu ukiri kuwa jamaa anatema vitu vya ukweli na huwezi subiri uhadithiwa unataka kuatend mwenyewe!
 
Anaanda mazingira ya kujiandikia posho. Wazi mtupu!!.

Comrade Mzee,

Unajua Tindu Lissu anashangaza sana kwa nini hizo posho anazopekea Mwanza na gharama wanazotumia kuandaa maandamano..

Kwa nini wasinunue magunia mahindi na mahragwe wakagawe jimboni kwake Singida watu wanakufa njaa..

Hivi ili hawalioni hawa magwanda
 
Sasa mbona kaenda kufanyia mkutano Magomeni mwaloni sehemu ndogo..

Kwa nini wasifanyie Furahisha au Sahara au Mirongo au wanahofia kukosa watu, wamemeamua wakafanyie kwa wauza dagaa!
Mafisadi wakubwa nyie,kwahiyo mlitaka akafanyie mkutano kwa WEZI wenzenu?Kwani WAUZA DAGAA sio watu?Huo USELFISH wenu kiama chake ni 2015.Shame on you.
 
Back
Top Bottom