Mwanza: Tundu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni

hebu tujuze kilichotokea huko
Siwezi kufanya kazi ya PR wa CDM..but hakukuwa na jipya. Ni malalamiko tu na kujiuma uma. Kwa kifupi CDM wamepoteza mvuto hapa Mwanza. Waliohudhuria ni wachache sana. Wengi wao ni vijana wa vijiweni wasiopenda kujishughulisha.
 
Mkutano ulitanguliwa na ufunguzi wa ofisi ya tawi maeneo ya mwaloni kata ya kirumba

Kisha ulifuatiwa na mkutano wa hadhara ambao ulikuwa ni maalumu kwa watu wa kataya Kirumba iliyokuwa inaongozwa na marehemu Novath Manoko

Kulikuwa na utambulisho wa viongozi wa chama cha CDM uliofanywa na katibu wa CDM wilaya ya Ilemela Ndg.Abeid katika mengi aliyozungumza alichombeza kuwa ni ajabu kuona mtu wa familia nyingine kuja kuomba urithi wa marehemu bila kufafanua na akauliza nadhani watu mmenielewa na kuitikiwa ndiyo....

Alifuatiwa na katibu wa mkoa wa mwanza Ndg Mshumbusi,ambaye yeye alisisitiza watanzania wakati tukiendelea kumuenzi mwalimu tutafakari Tanzania yetu baada ya miaka hamsini ya uhuru na kuwapuuza wanatamba wakati wakimuenzi Nyerere kuwa wamefanikiwa kutuibia na wanasonga mbele pia aliwataka kumuenzi diwani Manoko kwa yale aliyoyafanya kwa kipindi kifupi cha uongozi wake

Alifuatiwa na mbunge wa ilemela mh.Highness mambo ambaye alizungumzia mambo makuu matatu

1/Alieleza hajaja kumjibu nape wala hawezi kujibu umbea ila alifarijika kusikia CCM wanakuja kuhutubia katika jimbo lake tena viongozi wakuu kwani alijua wanakuja kuwapa pole wakazi wa kirumba kwa kumpoteza diwani wao na kujadili mustakabari wa Kirumba kwani huo ndiyo utanzania mbali na tofauti za kimtazamo wa kisiasa lakini alishangazwa badala yake walikuja kuwatukana wanakirumba na wanamwanza kuwa wanamimba tena ya kushikishwa ukuta na...............(hayaandikiki)

2/ kumbukumbu imenitoka kidogo

3/Alieleza masikitiko yake kwa tukio lililofanya na baadhi ya wakristo katika jimbo lake ambao walichoma Quran ambacho ni kitabu kitakatifu kwa imani ya kiislam,akasema yeye kama kiongozi ameguswa na kitendo hicho ambacho hakipendezi japokuwa si msemaje wa wakristo aliomba radhi akiamini kuwa itarejesha amani katika jimbo hilo.

Mheshiwa Tundu Lissu alifuata na kueleza mambo matatu

1.Alieleza historia ya Mwanza kama sehemu ya kanda ya ziwa wakati huo ikijulikana kama Nyanza katika historia ilivyokuwa chachu ya kupata uhuru kwani watu kama John Lupia,Bhoke Mnanka,Bomani walivyobeba ujasiri hata kumchangia mwalimu fedha mwaka 1958 kama sijakosea kwenda UN kudai uhuru kupitia chama cha ushirika Nyanza hivyo akawataka watu wa mwanza kuendeleza ujasiri na chachu hiyo ya kupigania uhuru tunapokwenda kwenye kutafuta uhuru wa pili na kueleza historia imekuwa haisemwi jinsi ilivyo kwani Mwl alivunja nguvu ya kiuchumi na kisiasa ya kanda ya ziwa baada ya kuviua vyama vya ushirika pamoja na vyama vingi wakijua idadi ya watanzania iko kanda ya ziwa na uchumi wote uko kanda ya ziwa akataja dhahabu na dhahabu nyeupe(pamba)

2.Aliwataka watanzania kumuenzi baba wa taifa na sio kumuabudu kwani alikuwa ni binadamu na kuna makosa alifanya kama binadamu pamoja na mazuri yote.Alieleza ubovu wakatiba ya sasa ni umechangiwa naye kwani alitambua na kuna wakati alieleza wakati akihojiwa na mwandishi wa BBC kuwa angeweza kuwa dictator kwani katiba haimbani hivyo kutokana na katiba hiyo aliyotuachia kaachia fursa ya warithi wake kupora raslimali za taifa hili.Akawataka watu wote tukatae katiba itakayotuchakachua na mambo yote yajadiliwe bila kuacha chochote.

3.Muungano,katika hili amewataka watanzania wasikubali suala hili lisijadiliwe na waamue wanataka muungano au la na akashangaa aligusa kidogo tu watu wakabiga kelele kuwa ni mbaya kuwa anataka muungano uvunjike hivyo akataka muungano ujadiliwe nawatu waulizwe wanautaka au la ,pamoja na mambo mengine alimalizia kwa kushangaa CCM wamefungua kesi halafu mashahidi wanakimbia kila siku anatoa sababu hivyo anasema wameuwasha moto kwani hatawaacha hivihivi

Mwisho kabisa kadi za CCM zilirejeshwa na kuchomwa
 
Natafuta mafundi wazuri - professionals wa Mercedez Benz manake naona mafundi wengi wa hapa DSM wamechemsha katika fani hii...naongelea wa pale Mwenge , Namanga na hata Bosch kwenyewe .Manake kuna Mercedez ML series nimepeleka kote huko lakini yapata mwezi sasa nimeshanunua spares zote walizozigundua baada ya diagnosis lakini gari haija pona na naona kabisa mafundi wamechemsha...je kuna yeyote mwenye idea pa kwenda kwenye wa ukweli zaidi?
Peleka gerezani,magari yote ya wizi na spea zake vinapatikana pale. Pumbavu
 
Mimi sina tatizo na maneno yako Lissu aangalie na jimbo lake kuna njaa sana

Wewe unachoshindwa kukielewea ni kwamba watu wanaongelea ukombozi wa nchi kutokana na ukoloni mambo leo ambao ni mgumu sana kuliko ukoloni mkongwe kwa sababu makandamizaji (ccm) ni jamaa zetu na wanaongea lugha yetu. Mwl Nyerere alipochukua jukumu la kupambana na ukoloni mkongwe hakukaa butiama tu ili awaletee wao peke yao uhuru na maendeleo iilyokuwa "Kazi ya TANU" (kama unakumbukumbu!) bali alizunguka nchi nzima. Mkoloni mamboleo ccm hana haja ya kwenda popote kwa sababu hana la manufaa kwa wananchi zaidi ya dhuluma.
 
Wananchi wa Singida wamemchagua Lisu ili azunguke Tanzania kuhamasisha vurugu?.
 
hivi ni vurugu gani alizoamasisha kweli uzee unakusumbua. Wakiitisha mkutano wa akina nape, lusinde na mwigulu hawaasishi vurugu? Au mkuki mtamu kwa ngurue!
 
Hi wadau! Kiwanja kinauzwa kipo Bahari beach kina sqm 6644. Kina hati na document zote za muhimu. Dalali haitajiki KABISA. Kwa mawasiliano zaidi piga 0773 679767 0r 0756 679767.

ndo maana mikataba mibovu. Akili yako kama ya Karamagi
 
Ha! Ha! Ha! Kachanganyikiwa njaa mbaya mimi nipo Arusha mpaka jumatatu, nimefikia pale Kibo palace hotel kwa mwana chadema yoyote anataka kuonana na mimi namkaribisha

Ukiwa mahali unasema "NIMEFIKIA HAPA" Unaposema nimefikia pale saikoloji ya mtoto wa darasa la tatu inatosha kujua upo mbaali sana na unapopasema!
Kadanganye wajinga!
 
Mkutano ulitanguliwa na ufunguzi wa ofisi ya tawi maeneo ya mwaloni kata ya kirumba

Kisha ulifuatiwa na mkutano wa hadhara ambao ulikuwa ni maalumu kwa watu wa kataya Kirumba iliyokuwa inaongozwa na marehemu Novath Manoko

Kulikuwa na utambulisho wa viongozi wa chama cha CDM uliofanywa na katibu wa CDM wilaya ya Ilemela Ndg.Abeid katika mengi aliyozungumza alichombeza kuwa ni ajabu kuona mtu wa familia nyingine kuja kuomba urithi wa marehemu bila kufafanua na akauliza nadhani watu mmenielewa na kuitikiwa ndiyo....

Alifuatiwa na katibu wa mkoa wa mwanza Ndg Mshumbusi,ambaye yeye alisisitiza watanzania wakati tukiendelea kumuenzi mwalimu tutafakari Tanzania yetu baada ya miaka hamsini ya uhuru na kuwapuuza wanatamba wakati wakimuenzi Nyerere kuwa wamefanikiwa kutuibia na wanasonga mbele pia aliwataka kumuenzi diwani Manoko kwa yale aliyoyafanya kwa kipindi kifupi cha uongozi wake

Alifuatiwa na mbunge wa ilemela mh.Highness mambo ambaye alizungumzia mambo makuu matatu

1/Alieleza hajaja kumjibu nape wala hawezi kujibu umbea ila alifarijika kusikia CCM wanakuja kuhutubia katika jimbo lake tena viongozi wakuu kwani alijua wanakuja kuwapa pole wakazi wa kirumba kwa kumpoteza diwani wao na kujadili mustakabari wa Kirumba kwani huo ndiyo utanzania mbali na tofauti za kimtazamo wa kisiasa lakini alishangazwa badala yake walikuja kuwatukana wanakirumba na wanamwanza kuwa wanamimba tena ya kushikishwa ukuta na...............(hayaandikiki)

2/ kumbukumbu imenitoka kidogo

3/Alieleza masikitiko yake kwa tukio lililofanya na baadhi ya wakristo katika jimbo lake ambao walichoma Quran ambacho ni kitabu kitakatifu kwa imani ya kiislam,akasema yeye kama kiongozi ameguswa na kitendo hicho ambacho hakipendezi japokuwa si msemaje wa wakristo aliomba radhi akiamini kuwa itarejesha amani katika jimbo hilo.

Mheshiwa Tundu Lissu alifuata na kueleza mambo matatu

1.Alieleza historia ya Mwanza kama sehemu ya kanda ya ziwa wakati huo ikijulikana kama Nyanza katika historia ilivyokuwa chachu ya kupata uhuru kwani watu kama John Lupia,Bhoke Mnanka,Bomani walivyobeba ujasiri hata kumchangia mwalimu fedha mwaka 1958 kama sijakosea kwenda UN kudai uhuru kupitia chama cha ushirika Nyanza hivyo akawataka watu wa mwanza kuendeleza ujasiri na chachu hiyo ya kupigania uhuru tunapokwenda kwenye kutafuta uhuru wa pili na kueleza historia imekuwa haisemwi jinsi ilivyo kwani Mwl alivunja nguvu ya kiuchumi na kisiasa ya kanda ya ziwa baada ya kuviua vyama vya ushirika pamoja na vyama vingi wakijua idadi ya watanzania iko kanda ya ziwa na uchumi wote uko kanda ya ziwa akataja dhahabu na dhahabu nyeupe(pamba)

2.Aliwataka watanzania kumuenzi baba wa taifa na sio kumuabudu kwani alikuwa ni binadamu na kuna makosa alifanya kama binadamu pamoja na mazuri yote.Alieleza ubovu wakatiba ya sasa ni umechangiwa naye kwani alitambua na kuna wakati alieleza wakati akihojiwa na mwandishi wa BBC kuwa angeweza kuwa dictator kwani katiba haimbani hivyo kutokana na katiba hiyo aliyotuachia kaachia fursa ya warithi wake kupora raslimali za taifa hili.Akawataka watu wote tukatae katiba itakayotuchakachua na mambo yote yajadiliwe bila kuacha chochote.

3.Muungano,katika hili amewataka watanzania wasikubali suala hili lisijadiliwe na waamue wanataka muungano au la na akashangaa aligusa kidogo tu watu wakabiga kelele kuwa ni mbaya kuwa anataka muungano uvunjike hivyo akataka muungano ujadiliwe nawatu waulizwe wanautaka au la ,pamoja na mambo mengine alimalizia kwa kushangaa CCM wamefungua kesi halafu mashahidi wanakimbia kila siku anatoa sababu hivyo anasema wameuwasha moto kwani hatawaacha hivihivi

Mwisho kabisa kadi za CCM zilirejeshwa na kuchomwa

asante sana kwa taarifa.Ngoja nikalale sasa
 
Natafuta mafundi wazuri - professionals wa Mercedez Benz manake naona mafundi wengi wa hapa DSM wamechemsha katika fani hii...naongelea wa pale Mwenge , Namanga na hata Bosch kwenyewe .Manake kuna Mercedez ML series nimepeleka kote huko lakini yapata mwezi sasa nimeshanunua spares zote walizozigundua baada ya diagnosis lakini gari haija pona na naona kabisa mafundi wamechemsha...je kuna yeyote mwenye idea pa kwenda kwenye wa ukweli zaidi?

panda T 2015 CDM
 
ndo maana mikataba mibovu. Akili yako kama ya Karamagi

mpuuz karamagi aliletwa na mwizi maarufu huko bukoba kuja kugombea ubunge baada ya kifo cha Lukiza kinyondo..karamagi kipindi hicho hana ata kibanda achilia mbali nyumba pale kwao..karamagi alikua mbumbumbu asiyejua kuhutubia bali alibebwa na huyo KACHWAMBA mwenye elimu ya darasa la nne pamoja na muziki wa komba toti-ekimenengule.baada ya kachwamba kufariki ukawa mwisho wa fisadi karamagi kutoka NYAKABANGA-BUTELANKUZI-RUBALE-BUKOBA VIJIJINI.ccm wapuuzi sana.
 
Nina usingizi naenda kulala nikirudi huenda nikaelewa kinachozungumzwa hapa
 
Huyu mze sifa zitamponza. Matatizo ya jimbo lake anayatatua muda gani?..

2015 sio mbali.
Hilo swali nadhani ingefaa zaidi umuulize JK muda mwingi yupo ughaibuni matatizo ya wananchi wake anayatatua muda gani???Au ndo bado anashangaa umaskini wa Watanzania???
 
Back
Top Bottom