Mwanza: The Cask yawaka moto

Mwanza: The Cask yawaka moto

vijana kuweni makini na hawa wahudumu wa bar huwa hawakataagi mtu mradi usiwe na mkono wa birika.
Mimi vinaniuzigi vinajifanya vinakunywaga vinywaji expensive wakati havina hela
Na sie mkuu hatutaki kukataliwa mkuu, waendelee tu kutukubalia aseee. ila kwenye hela ni kupambana pima thamani kabla pocket haijaguswaaa
 
Ningeweza upload picha hapa akiwa na rasi...tokea akiwa saitama japan, ila inaweza reveal identity yangu kwa aliye familiar na nyakati hizo. So kaa humohumo hakuwa na rasta, hajawahi kuwa na club ila kaka yake tu (Jimmy) club ya rock n roll na nini tena? Kiwanda cha plastiki tu au sio?

Wewe unamfahamu vizuri Joe,kama pana mtu anakubishia,achana nae.Au ukute wanachanganya kati ya Joe na Jimmy
 
Back
Top Bottom