Mwanza Safi, hakuna Machinga yeyote mtaani

Wamevunja hadi Buswelu, asubuhi nilivyopita pale mbogamboga na centre yaani vibanda viko chini! nasikia alivunja saa tisa usiku wa leo! Kuhusu vibaka itakuwa balaa hasa mie mzururaji wa kupata kilaji ni balaa aisee!
Itabidi ufanye kidijitali, unachukua Rambo unachukua luse 2 unaenda zako home mapemaaaa.
 
Ndio mimi sasa, kwanza sina utaratibu wa kupokea vi offer uchwara, kama pesa ya kunywa kinywaji chochote ninayo sasa nini kupokea vijimisaada vya kipuuzi puuzi
Hello iron lady embu fanya tukutane salma cony au huo mgahawa wa pizzeria hapo mwanza hotel kama cony haupendelei tubadilishane mawazo ya kuisoma number.
 
Idumu Serikali ya Magufuli.
 
Pale walikwekwa kwa muda, wametolewa wote pale hakuna hata unyoya wa machinga mpaka kule kwenye soko lililoungua pale barabara ya pamba, mtaa wa vitunguu wote hakuna mtu hadi market street
Hii ni zaid ya noumaa maisha yanazid kuwa magumu sana
 
Tupiamo kapicha. Kesho nitakuwa hapo Gold Crest na mtu wangu wa kale
 
Tupiamo kapicha basi. Laaahaa..kipochi changu nakibania kwenye mbavu. Maana mmmhhh
 
Hizi namba sasa zinasomeka vzr,,

Kwa sasa tutahamia kuzisoma zile za Bombardier zetu. Safi sn Wana Kwanza kila mwenye kutaka nafuu ya maumivu ya. JIPU ni lazima akubali KUKAMULIWA.
 
Hello iron lady embu fanya tukutane salma cony au huo mgahawa wa pizzeria hapo mwanza hotel kama cony haupendelei tubadilishane mawazo ya kuisoma number.
Salima Cone na Pizeria pale si ni juice tu we chongchung! mie nagongwa vikali aisee😀😀
 
Mkuu hebu fafanua kwa undani. Naimiss sana Mwanza
Habari ndo hiyo mkuu, yaani kuanzia katikati ya jiji hadi mitaa ya mbali kama Igoma, Buzuruga, Nyasaka, Nyakato ... vibanda vyote vilivyokuwa kandokando ya barabara havipo tena!
 
Jiandaeni kisaikolojia na nyie kubomolewa usiku wa manane uzuri wao hawatatumia greda ni JIWE FATUMA TU NA KOLEO AU NONDO msichekelee sana [emoji40][emoji125]
Hapa ni kuwa macho masaa wa wanga vinginevyo ... ni hatareeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…