Maeneo waliyopelekwa ni pembeni ya mji. Biashara itakuwa ngumu sana.Mie mwenyewe leo nimepita Makoroboi nikashangaa kumbe kuna barabara kubwa kabisa ambayo gari inapita bila tatizo lolote, na pale Tanganyika peupeeeee, ukija hapa Nyakato National ile barabara ya kuingia Buswelu kwa mzee Kafiti kumbe na penyewe ni papana tu, wale akina mama wa matunda wametolewa! Buzuruga karibu na Mapokezi baa na kwenyewe peupeee! Ila tujiandae kwa yote maana hao vijana sijajua kama wataendelea na biashara zao huko walipopelekwa au ndio tutakabwa hata saa kumi jioni!
walisema utaanza soonKumbe! vipi na utanuzi wa airport umehairishwa ama unaendelea..?
kwaiyo watafunga ile barabara ya kwenda igombe..?walisema utaanza soon
haswaaaaaaaaaaaaa, si hata JPM kipindi aliwaambia kuwa wafungulieni watu wapiti hadi hapo mtakapoanza ujenzi ndio mfungekwaiyo watafunga ile barabara ya kwenda igombe..?
mwanamke unapiga kilaji mpaka usiku?Wamevunja hadi Buswelu, asubuhi nilivyopita pale mbogamboga na centre yaani vibanda viko chini! nasikia alivunja saa tisa usiku wa leo! Kuhusu vibaka itakuwa balaa hasa mie mzururaji wa kupata kilaji ni balaa aisee!
ndio nakula jasho langu sigombwi na mtu na wala simtegemei mtu, najisimamia, najiamini ninaweza bila kuwezeshwa na mtu yeyote, kwa raha zangumwanamke unapiga kilaji mpaka usiku?
Duh! hapo watakuwa wanachomozea sabasaba! nadhani na nauli itapanda!haswaaaaaaaaaaaaa, si hata JPM kipindi aliwaambia kuwa wafungulieni watu wapiti hadi hapo mtakapoanza ujenzi ndio mfunge
Barabara ya kwenda Igombe kupitia airport ikifungwa inabidi wapiti Buswelu, Ilalila hadi Igombe nauli huwa inakuwa mara kubwa sanaDuh! hapo watakuwa wanachomozea sabasaba! nadhani na nauli itapanda!
Duh! naanza kuisoma sasa lkn staki kuamini ngoja niendelee kuficha kichwa kama mbuni..! asante kwa taarifaBarabara ya kwenda Igombe kupitia airport ikifungwa inabidi wapiti Buswelu, Ilalila hadi Igombe nauli huwa inakuwa mara kubwa sana
Unapofurahia kutowaona mtaani, ujue wataonekana sehemu nyingine... Aidha utawaona wakikukaba usiku, ama utawaona wakiwa wamejifia kutokana na kutoweza kupata mahitaji ya msingi kama chakula...Aliyekuwa akiwatimua wamachinga kipindi akiwa Meya wa jiji ... kwa sasa ndiye anajifanya kuwatetea wamachinga / wafanyabiashara wadogowadogo ... mbunge huyo ..
Sasa yametimia ya kuisoma namba ... hakuna anayeendelea na biashara ya kutandaza bidhaa barabarani wala vibanda vidogo vidogo hakuna tena mitaani.. hata vile vya magazeti hakuna kabisa.
Namba inasomeka kwa watanzania wote!
wanawake bila kuwezeshwa hawawezi aisee mi sijawahi kumuona mwanamke akiingia bar kulewa peke yakendio nakula jasho langu sigombwi na mtu na wala simtegemei mtu, najisimamia, najiamini ninaweza bila kuwezeshwa na mtu yeyote, kwa raha zangu
Ndio mimi sasa, kwanza sina utaratibu wa kupokea vi offer uchwara, kama pesa ya kunywa kinywaji chochote ninayo sasa nini kupokea vijimisaada vya kipuuzi puuziwanawake bila kuwezeshwa hawawezi aisee mi sijawahi kumuona mwanamke akiingia bar kulewa peke yake
Nani Maji yamfike shingoni? Mimi sijawahi kuishi kwa kutegemea dili, mi ni mkulima, na mwaka huu nimelipwa vizuri tu, achana na mimi.Umekaririshwa vyama! Utakalia kukakariri hadi maji yatakapokufika shingoni. Tumia ufahamu wako sawasawa kujua kinachoongelewa!
Mtakabwa ndani ya masaa 24. Chezea njaa wewe.Mie mwenyewe leo nimepita Makoroboi nikashangaa kumbe kuna barabara kubwa kabisa ambayo gari inapita bila tatizo lolote, na pale Tanganyika peupeeeee, ukija hapa Nyakato National ile barabara ya kuingia Buswelu kwa mzee Kafiti kumbe na penyewe ni papana tu, wale akina mama wa matunda wametolewa! Buzuruga karibu na Mapokezi baa na kwenyewe peupeee! Ila tujiandae kwa yote maana hao vijana sijajua kama wataendelea na biashara zao huko walipopelekwa au ndio tutakabwa hata saa kumi jioni!
mie ni mwanamke wee Tutor B, hahahahahahah
Nyamhongolo wanaenda kufuata nini huko maporini?Ndio watakuja hadi Igoma, Nyakato National tayari, wanaenda hadi Buhongwa , Airport na huko nadhani watafika Nyamhongolo.