Mwanza Safi, hakuna Machinga yeyote mtaani

duh! sasa mbona viwanda bado au ndo surprise! ghafla tu watakuja kuambiwa haya wale machinga viwanda hivi wkt huo mbavu zinaonekana!
vipi na ule utanuzi wa barabara la airport umefikia wapi..?
 
Mkuu nilisikia kipind flan kuwa wafanyabiashara wadogo wanatakiwa wakae hapo stend ya tanganyika kumbe na hapo wametolewa aisee mbona ni watu wengi sana wamekosa ajira
 
Wamevunja hadi Buswelu, asubuhi nilivyopita pale mbogamboga na centre yaani vibanda viko chini! nasikia alivunja saa tisa usiku wa leo! Kuhusu vibaka itakuwa balaa hasa mie mzururaji wa kupata kilaji ni balaa aisee!
Sasa kule mboga mboga pamehusu nini jaman nawaza hapa nahis hata igoma pale pamevunjwa na kuna machinga wengi sana cjui wataishi vip
 
Sasa kule mboga mboga pamehusu nini jaman nawaza hapa nahis hata igoma pale pamevunjwa na kuna machinga wengi sana cjui wataishi vip
labda wanatakia wahamie soko jipya kule karibu na wilayani
 
Ni upepo tu, utapita na mambo yataendelea kama kawaida
 
Mkuu nilisikia kipind flan kuwa wafanyabiashara wadogo wanatakiwa wakae hapo stend ya tanganyika kumbe na hapo wametolewa aisee mbona ni watu wengi sana wamekosa ajira
Pale walikwekwa kwa muda, wametolewa wote pale hakuna hata unyoya wa machinga mpaka kule kwenye soko lililoungua pale barabara ya pamba, mtaa wa vitunguu wote hakuna mtu hadi market street
 
Wakafanye biashara sehemu husika ili na serikali iweze kukusanya mapato
 
duh! sasa mbona viwanda bado au ndo surprise! ghafla tu watakuja kuambiwa haya wale machinga viwanda hivi wkt huo mbavu zinaonekana!
vipi na ule utanuzi wa barabara la airport umefikia wapi..?
Utanuzi bado wanajenga lile daraja la pale Ghana na pia wanaendelea kupanua kidogo kidogo hawajamaliza
 
hahahhah (bold) hahha uko Bugarika nini?!
 
2019 watarudishwa ka speed kali sana... na wao bila kujua kwamba wanatumika kwa ajili ya uchaguzi watafanya Tena makosa
 
Weka picha basi!! Tupichapicha ndo tunanogesha habari!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…