Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,413
Sheria ipi hiyo inataka utoe taarifa kwenye masuala ya kikao cha ndani?Kama kuna mambo hujui ni vyema kukaa kimya kuficha upumbavu wako.Walishindwa nini kutoa taarifa ili waruhusiwe! Mambo mengine bwana
Nani aliifunga?CHADEMA tulieni kwanza nchi ifunguliwe.
Mambo mengine gani wewe Ustaadh uchwaraWalishindwa nini kutoa taarifa ili waruhusiwe! Mambo mengine bwana
Polisi pia ni muhimu kwa maana walinda amani. Chochote kitakachotokea watasaidia.
Masoud anajua sana
Polisi wanamilikiwa na chama cha kijaniSi kwa vikao vya ndani, Neno la Polisi si sheria....
Vikao vya Harusi, Kitche Party, Send Off vinapata kibali wap?..
Ukihost Event sehemu unachukua kibali polisi. Waulizwe kina Coy Mzungu kama wanapewa ibali..
Polisi wanatoa kibali kwa mikutano ya hadhara, Tena kisheria wanapaswa kupewa taarifa tu na kama watazuia watoe sababu za msingi
Mambo mengine gani wewe Ustaadh uchwara
Kwa kuwa huyu jamaa wa polisi ameonesha kosa kwa kusema nanukuu "...ukizingatia kuwa mikutano yote ya nje na maandano vilipigwa marufuku....." wamefanya hii kuwa rahisi...Chadema wamjibu wamwambie MKUTANO NI WA NDANI SIO WA NJE NA WALA SIO MAANDAMANO HIVYO WATAKUWA HAWAJA KAIDI AGIZO LOLOTE!Huyo aliyetoa hilo tangazo ni mjinga.
Tangu lini kufanya mikutano au vikao vya ndani vikahitaji kutoa taarifa Polisi?
Angeweka na kifungu cha sheria kinachotamka hicho anachokitaka. Polisi hana mamlaka ya kutamka kuwa mkutano au kikao fulani ni batili. Kinachoweza kutamka hivyo ni sheria. Aweke sheria ambayo inabatilisha kikao cha ndani ambacho polisi hawajapewa taarifa.
Hawa ndiyo wanaopewa nafasi lakini uwezo wao ni mdogo kuliko nafasi wanazopewa.
Polisi lama hawa wasiojua sheria na mipaka ya mamlaka yao, wanatakiwa kuondolea mara moja.
Hapo anaetumia nguvu ni nani?Kauli zenu chafu ndio zinawaponza.
Mimi naunga mkono swala la katiba, tunahitaji katiba mpya ipitishwe haraka. Lakini sheria ifuatwe, na sio kutumia nguvu.
Ni sheria ipi imevunjwa?Kauli zenu chafu ndio zinawaponza.
Mimi naunga mkono swala la katiba, tunahitaji katiba mpya ipitishwe haraka. Lakini sheria ifuatwe, na sio kutumia nguvu.
Ni sheria ipi imevunjwa?
Vikao vya ndani haviitaji kutoa taarifa polisi.Walitakiwa watoe taarifa polisi mkuu au haikupaswa iwe hivyo!
Halafu unaelewa ya kwamba haki huwa inachukuliwa na siyo kuombwa?Unaelewa ni kwa nini haki haipaswi kuombwa kama wewe unavyotaka tumwendee Mama kwa ustaarabu?Huyu mama tukimwendea kwa upole na ustaarabu atasikiliza ombi letu, hana shida mkuu.
Vikao vya ndani haviitaji kutoa taarifa polisi.
Kwani mdude sio mwana CHADEMA?Chadema hawafanyi kikao cha chama ila wanafanya kongamano na wanaalika watu mbalimbali...makongamano yenyewe ndo hayo ambayo wakina mdude wanatukana tu.
Halafu unaelewa ya kwamba haki huwa inachukuliwa na siyo kuombwa?Unaelewa ni kwa nini haki haipaswi kuombwa kama wewe unavyotaka tumwendee Mama kwa ustaarabu?Kumbe! Nilikua siyajui hayo mkuu. So Wafanye watakavyo lakini swala la katiba mpya liko pale pale, Mungu asaidie lifanikiwe
Kwani ilikuwa imefungwa ?CHADEMA tulieni kwanza nchi ifunguliwe.
Halafu unaelewa ya kwamba haki huwa inachukuliwa na siyo kuombwa?Unaelewa ni kwa nini haki haipaswi kuombwa kama wewe unavyotaka tumwendee Mama kwa ustaarabu?