MWANZA: Machinga wameanza kurudi katika maeneo yao kufuatia agizo la Rais


kunze

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
297
Likes
307
Points
80
Age
40
kunze

kunze

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
297 307 80
Kweli,Rais Leo kasema tena,wahamishwe baada ya maandalizi
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,766
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,766 280
Warudi tu maana hakuna namna

Kila mzawa wa nchi hii anayo haki ya kufanya Kazi zake kwa Uhuru bila kuvunja katiba........

Na nimeona kumbe hawakuvunja sheria yeyote kwa mujibu wa Ikulu wacha wafanye Kazi zao.......
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,842
Likes
13,877
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,842 13,877 280
Waandaliwe kwanza sehemu
Kisha wapelekwe
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,022
Likes
11,674
Points
280
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,022 11,674 280
Nasikia kuna mtu alpoteza maisha coz ya shock. Ushauri. Polisi wasimamie zoezi la wamachinga wakiwa wanarudi maeneo yao. kuna scramble and petitions kubwa sana muda huu.
 
mwamajinja mapunga

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Messages
1,083
Likes
516
Points
180
mwamajinja mapunga

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2014
1,083 516 180
Magu anachotaka ni kujipa credibility kuwa ni mtu wa watu ionekane halmashauri ilixhofanya haikuwa sahihi... Rais magufuli aache siasa nyepesi za namna hii... Angeamua moja tuu waondolewe ili wajue CCM si ya wanyonge kama anavojitanabaisha yeye.
 
Kagondo

Kagondo

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
296
Likes
79
Points
45
Kagondo

Kagondo

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
296 79 45
Matamko ya kila kiongozi,,,da sasa huyu mama mkuu wa wilaya Nyamagana aibu anaiweka wapi,,,,,,,
angalia hapa anachokisema,,,,,,
 
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Messages
1,814
Likes
1,554
Points
280
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2016
1,814 1,554 280
Duuuh....Hapo nafahamu wasukuma wameshangilia masikini na kusahau kuwa wamebomolewa mabanda yao kwa mihemko na pia ndo kama wanaanza kutafuta mtaji...hapo mtampatia Credit Pombe pasipo kutambua uongozi wake ndo chanzo cha maumivu hayo...Poleni hapa dunian tunapita tu.....
 
ngofa

ngofa

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Messages
240
Likes
21
Points
35
ngofa

ngofa

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2013
240 21 35
Hapana aisee..
Hapa kuna kitu hakipo sawa,kwa nini asingezuia kabla?watu wameshapata hasara na walishaenda huko walipopelekwa leo anasema warudi?
Taatifa za kuondoshwa zilikiwepo muda mrefu na hata kwenye vyombo vya habari tuliona wananchi wakilia wakiomba wasiondolewe hakuna aliyejitokeza kusitisha.
Hii ni kuchonganisha wananchi na watumishi wengine
 
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,322
Likes
1,563
Points
280
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,322 1,563 280
Hapana aisee..
Hapa kuna kitu hakipo sawa,kwa nini asingezuia kabla?watu wameshapata hasara na walishaenda huko walipopelekwa leo anasema warudi?
Taatifa za kuondoshwa zilikiwepo muda mrefu na hata kwenye vyombo vya habari tuliona wananchi wakilia wakiomba wasiondolewe hakuna aliyejitokeza kusitisha.
Hii ni kuchonganisha wananchi na watumishi wengine
Wanakoenda kumeandaliwa?
 
Kagondo

Kagondo

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
296
Likes
79
Points
45
Kagondo

Kagondo

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
296 79 45
Matamko ya kila kiongozi,,,da sasa huyu mama mkuu wa wilaya Nyamagana aibu anaiweka wapi,,,,,,,
angalia hapa anachokisema,,,,,,
Kila kiongozi anakuja na tamko lake,,,hivi mbona siku za nyuma haikuwepo hii?
Mara kazi yenu kuzaa tu, alafu mwingine anakuja anakanusha eti ilikuwa utani
Mara machinga waondolewe , mara warudi,,,
Mara wahitimu wasivae majoho kabla ya degree, mara hiyo haipo watavaa tu,,,
Mara diploma huendi chuo kikuu, mara utaenda tu,,,,
Ziara za Makonda kule Dar ndo usiseme,,,,Makonda hivi na serikali za mitaa vile,,,
MENGINE YANA UCHANYA NDANI YAKE, ILA TUANGALIE NA UHASI pia,,,tusishangilie kwa kila kitu,.

SIJUI KESHO WATASEMAJE MMMH
 
bopwe

bopwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Messages
1,616
Likes
1,074
Points
280
bopwe

bopwe

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2013
1,616 1,074 280
Hii yote ni mipango tu ya kiki za kisiasa...watumchi hii masikini hivyo hawana cha kufanya ...yule ataambiwa wafukuse..atakuja mwengine mwenye amri kuu aseme warudishe....ni kiki hata dar makonda aliwa hamisha mkuu akawa rudisha ni kawaida ya kiki nyepesi za kisiasa.....kutumia njaa ya wananchi na ukosefu wa ajira...
 

Forum statistics

Threads 1,273,066
Members 490,262
Posts 30,470,047