MWANZA: Machinga wameanza kurudi katika maeneo yao kufuatia agizo la Rais

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,907
Hapa Makoroboi jijini Mwanza machinga walioondolewa sasa wanarudi katika maeneo yao.

Wanasema ni tamko la Rais.

3011297d53f4663e1316f908e9fb2207.jpg
 
Kweli,Rais Leo kasema tena,wahamishwe baada ya maandalizi
 
Warudi tu maana hakuna namna

Kila mzawa wa nchi hii anayo haki ya kufanya Kazi zake kwa Uhuru bila kuvunja katiba........

Na nimeona kumbe hawakuvunja sheria yeyote kwa mujibu wa Ikulu wacha wafanye Kazi zao.......
 
Nasikia kuna mtu alpoteza maisha coz ya shock. Ushauri. Polisi wasimamie zoezi la wamachinga wakiwa wanarudi maeneo yao. kuna scramble and petitions kubwa sana muda huu.
 
Matamko ya kila kiongozi,,,da sasa huyu mama mkuu wa wilaya Nyamagana aibu anaiweka wapi,,,,,,,
angalia hapa anachokisema,,,,,,
 
Hapana aisee..
Hapa kuna kitu hakipo sawa,kwa nini asingezuia kabla?watu wameshapata hasara na walishaenda huko walipopelekwa leo anasema warudi?
Taatifa za kuondoshwa zilikiwepo muda mrefu na hata kwenye vyombo vya habari tuliona wananchi wakilia wakiomba wasiondolewe hakuna aliyejitokeza kusitisha.
Hii ni kuchonganisha wananchi na watumishi wengine
 
Wanakoenda kumeandaliwa?
 
Matamko ya kila kiongozi,,,da sasa huyu mama mkuu wa wilaya Nyamagana aibu anaiweka wapi,,,,,,,
angalia hapa anachokisema,,,,,,

Kila kiongozi anakuja na tamko lake,,,hivi mbona siku za nyuma haikuwepo hii?
Mara kazi yenu kuzaa tu, alafu mwingine anakuja anakanusha eti ilikuwa utani
Mara machinga waondolewe , mara warudi,,,
Mara wahitimu wasivae majoho kabla ya degree, mara hiyo haipo watavaa tu,,,
Mara diploma huendi chuo kikuu, mara utaenda tu,,,,
Ziara za Makonda kule Dar ndo usiseme,,,,Makonda hivi na serikali za mitaa vile,,,
MENGINE YANA UCHANYA NDANI YAKE, ILA TUANGALIE NA UHASI pia,,,tusishangilie kwa kila kitu,.

SIJUI KESHO WATASEMAJE MMMH
 
Hii yote ni mipango tu ya kiki za kisiasa...watumchi hii masikini hivyo hawana cha kufanya ...yule ataambiwa wafukuse..atakuja mwengine mwenye amri kuu aseme warudishe....ni kiki hata dar makonda aliwa hamisha mkuu akawa rudisha ni kawaida ya kiki nyepesi za kisiasa.....kutumia njaa ya wananchi na ukosefu wa ajira...
 
Back
Top Bottom