Mwanza kimya kimya........

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Baada ya wiki iliyopita watu kunitolea majicho aka mimacho niliposema nakuja Mwanza, wiki hii nimeamua kuja kimya kimya na ntaondoka kimya kimya kama nilivyoingia................

Mulehaya kinehe lolo...........

Kimya kimya tena in Mwanza...........
 
Baada ya wiki iliyopita watu kunitolea majicho aka mimacho niliposema nakuja Mwanza, wiki hii nimeamua kuja kimya kimya na ntaondoka kimya kimya kama nilivyoingia................

Mulehaya kinehe lolo...........
Woooh, karibu sana M'Jr... ngoja nimtafute beibe nasty tuje.... BTW umefikia wapi safari hii make last time ulikuwa hueleweki , afu umebeba tembo card au ndo umekuja tena kutupiga mizinga???????????????
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa we acha tu nimeuza ng'ombe wangu so niko full wala hata sihitaji Mastercard wala visa coz netembea na kibubu kabisa nimekitoboa kwa chini so natoa tu kwa matumizi yaliyopo.

This time wala sina haja na pa kufikia nilitengeneza mazingira last time so wala usijali mama, [MENTION]chaminglady[/MENTION]
 
Hahahahaaa we acha tu nimeuza ng'ombe wangu so niko full wala hata sihitaji Mastercard wala visa coz netembea na kibubu kabisa nimekitoboa kwa chini so natoa tu kwa matumizi yaliyopo.

This time wala sina haja na pa kufikia nilitengeneza mazingira last time so wala usijali mama, chaminglady

wooh hapo sawa.... @sobhuza is no longer my hezbend ur so welcomeeeeeeeeeee beibe nasty upo wapi M'Jr ana mafuba ya kutosha this time... hatulazi damu ati!!!!!
 
Last edited by a moderator:
wooh hapo sawa.... @sobhuza is no longer my hezbend ur so welcomeeeeeeeeeee beibe nasty upo wapi M'Jr ana mafuba ya kutosha this time... hatulazi damu ati!!!!!
Haya sasa last time mi ndio nilikuwa na kazi ya kuwatafuta this time its your turn to find me............Nilisema mimi yule sobhuza hakufai....Lol! Kwisha habari yake
 
worry out,umeona eeh alikuwa anajibaraguza. kasahau kuwa mfa maji haish kutapatapa. kajidai kunipa talaka kumbe ajitia kitanzi. hakujua kuwa nimetoka kwetu nimeaga ati! aliniona wa nini kumbe wenzie wanasema watanipata lini! Vodacom- kazi ni kwako M'Jr . . . ngoja nimsake beibe nasty tuje huko. BTW upo wapi nw
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/
 
Last edited by a moderator:
worry out,umeona eeh alikuwa anajibaraguza. kasahau kuwa mfa maji haish kutapatapa. kajidai kunipa talaka kumbe ajitia kitanzi. hakujua kuwa nimetoka kwetu nimeaga ati! aliniona wa nini kumbe wenzie wanasema watanipata lini! Vodacom- kazi ni kwako M'Jr . . . ngoja nimsake beibe nasty tuje huko. BTW upo wapi nw
JF Chit-Chat
Hahahahaaa sikumbuki lilikuwa tangazo la nini ila lilikuwa na maneno "TUMEKUSIKIA TUMEKUFIKIA" sasa mi nasema hivi "Nimekusikia, Nimekufikia" [MENTION]chaminglady[/MENTION]
 
Back
Top Bottom