Mashambulizi ya risasi jana Kinondoni mbona Polisi wako kimya? Hakuna taarifa yoyote?

winky

Senior Member
May 8, 2013
136
101
Jana kulikuwa na shoot out kinondoni na wananchi wengi wameumizwa lakinj polisi kimya kama hakujatokea kitu, ulikuwa ni ugomvi kati ya mmiliki aliyenunua eneo anayetaka kubomoa na wananchi.

Kuna video clip ilipostiwa ambayo ilikuwa deleted chaaap inaonyesha maaskari ambao sina uhakika ni police au security officers mana walivaa nyeusi na kofia nyeusi au dark blue wakiwashoot kwa risasi wananchi waliokuwa wanarusha mawe.

Later nilikuwa mwananyamala wakaletwa watu wengi sana wameumia na wanatia huruma wengine hawan msaada.

Lakini naona kimyaa hata police hawajaaddress hii kitu au sababu mmiliki ni mtu mkubwa na pesa?

Hata vyombo vya habari vingi vipo kimya.

Au hili ni jambo la kawaida kwa sasa?
 
Hao walioshutiwa walikuwa wanarusha mawe? Kama walikuwa wanarushia watu mawe ni sahihi kula Chuma.

Usitafute Amani huku umeficha Mapanga.. pia usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi ktk nyumba ya vioo.

Pia, Ukianzisha Vagi ukubali implications zozote.
 
Wewe ni pumbavu, elewa police wamefundishwa kuhusu nini wanatakiwa kufanya kwenye situation kana hii, police HAWARUHUSIWI kutumia live bullets to control violence protest, wanatakiwa kutumia rubber bullets, tear gases etc etc, Tanzania ni police state na hii inachangiwa na wapumbavu kama wewe, ONLY police wanatakiwa kutumia reasonable force wanapoona usalama wa raia na wao upo in danger
 
Mie na ww nani Mpumbavu sasa?

Umeambiwa walioshoot ni polisi au walinzi Binafsi wa huyo Mmiliki? (Haijulikani ni nani aliyeshoot hao watu)

Sasa ww una ushahidi gani kuwa polisi ndio waliotenda hayo? Mie na ww nani mpumbavu sasa? Mkipigwa makofi mnasema Wanajeshi wakorofi, Kenge mjamzito wewe.
 
Jana kulikuwa na shoot out kinondoni na wananchi wengi wameumizwa lakinj polisi kimya kama hakujatokea kitu, ulikuwa ni ugomvi kati ya mmiliki aliyenunua eneo anayetaka kubomoa na wananchi. Kuna video clip ilipostiwa ambayo ilikuwa deleted chaaap inaonyesha maaskari ambao sina uhakika ni police au security officers mana walivaa nyeusi na kofia nyeusi au dark blue wakiwashoot kwa risasi wananchi waliokuwa wanarusha mawe. Later nilikuwa mwananyamala wakaletwa watu wengi sana wameumia na wanatia huruma wengine hawan msaada. Lakini naona kimyaa hata police hawajaaddress hii kitu au sababu mmiliki ni mtu mkubwa na pesa???? , hata vyombo vya habari vingi vipo kimya.. Au hili ni jambo la kawaida kwa sasa??
Samahani mkuu....
Haya maeneo ulio yataja, yapo wapi hapa mkoa wa Mara??
 
Mie na ww nani Mpumbavu sasa?

Umeambiwa walioshoot ni polisi au walinzi Binafsi wa huyo Mmiliki? (Haijulikani ni nani aliyeshoot hao watu)

Sasa ww una ushahidi gani kuwa polisi ndio waliotenda hayo? Mie na ww nani mpumbavu sasa? Mkipigwa makofi mnasema Wanajeshi wakorofi, Kenge mjamzito wewe.
Calm down nigga, you gotta lots of stuff to do. Waste him in a bin. Dumb, ill.
 
Jana kulikuwa na shoot out kinondoni na wananchi wengi wameumizwa lakinj polisi kimya kama hakujatokea kitu, ulikuwa ni ugomvi kati ya mmiliki aliyenunua eneo anayetaka kubomoa na wananchi. Kuna video clip ilipostiwa ambayo ilikuwa deleted chaaap inaonyesha maaskari ambao sina uhakika ni police au security officers mana walivaa nyeusi na kofia nyeusi au dark blue wakiwashoot kwa risasi wananchi waliokuwa wanarusha mawe. Later nilikuwa mwananyamala wakaletwa watu wengi sana wameumia na wanatia huruma wengine hawan msaada. Lakini naona kimyaa hata police hawajaaddress hii kitu au sababu mmiliki ni mtu mkubwa na pesa???? , hata vyombo vya habari vingi vipo kimya.. Au hili ni jambo la kawaida kwa sasa??
Hiyo clip iliwekwa wapi? Uko karibu na eneo la tukio? Tunaomba info za kina zaidi kama unaweza kuzipata na una muda wa kufuatilia. Siku hizi watanzania tunatakiwa tujilinde wenyewe na habari tuziandike na kuzisambaza wenyewe. Tusitegemee tena hawa wachumia tumbo wanaoitwa waandishi wa habari au vibaka polisi. Kwenye situation kama hii wakipewa fedha kidogo hawaandiki.
 
Mie na ww nani Mpumbavu sasa?

Umeambiwa walioshoot ni polisi au walinzi Binafsi wa huyo Mmiliki? (Haijulikani ni nani aliyeshoot hao watu)

Sasa ww una ushahidi gani kuwa polisi ndio waliotenda hayo? Mie na ww nani mpumbavu sasa? Mkipigwa makofi mnasema Wanajeshi wakorofi, Kenge mjamzito wewe.
Hivi wewe akili zako ziko wapi? Kama hakuna ushaihidi mbona unashangilia watu kupigwa risasi? Unajua kilichotokea?
 
Wewe ni pumbavu, elewa police wamefundishwa kuhusu nini wanatakiwa kufanya kwenye situation kana hii, police HAWARUHUSIWI kutumia live bullets to control violence protest, wanatakiwa kutumia rubber bullets, tear gases etc etc, Tanzania ni police state na hii inachangiwa na wapumbavu kama wewe, ONLY police wanatakiwa kutumia reasonable force wanapoona usalama wa raia na wao upo in danger
Jamaa sio mpumbavu anawajua polisi wetu kuwa hawana huo uzalendo na ukiamua kuanzisha nao vita basi vita viwe kamili sio vita vya majaribio na uhakikishe hivyo vita mpaka bbc na cnn wanaviongelea ndo utashinda na sio mpo sijui watu kumi na tumawe twenu mnategemea mpigwe na risasi za rubber sijui gas. Utakachoambulia ni risasi kupigwa juu ikate kona ufe na ukose vyote.
 
Kilicholeta mabadiliko pale SA, kilochoua ubaguzi wa rangi ni maandamano ya wanafunzi 1976, na SIO,ANC or PAC kushinda vita au zile so called front line state, ni vijana walioongozwa na Orlando West secondary School, uoga wa kizuzu wa watanzania ni cancer mbaya sana
 
Back
Top Bottom