Mimi nimejua brown bread hapa hapa bongo tena nikiwa mdogo sanaHaya mambo sijui ya brown bread, brown sugar, low fat milk etc Tanzania bado sana. Wengi tumeyajua tulipoenda majuu hivyo wengi ambao hawatoka yanawatesa. Kwa mfano ukienda dukani unasema nipe sukari na unapewa sukari yoyote.
Royal oven ipo, cafeteria ipoUpatikanaji wa bidhaa ni kulingana na uhitaji wake/matumizi. Kwa Mwanza mikate hiyo haina soka kabisa na inauzwa bei ndogo kulinganisha na white bread. Sasa ukizingatia na kua mikate haina shelf life kubwa kwanini wafanya biashara wahangaike nayo?
Ukweli ni kua mikate hiyo ipo lakini haipatikani kila mahali sana sana kwenye supermarkets za wahindi utakuta tele.
SAUT imehamishia wachaga wengi sana Mwanza luchelele, buhongwa, mkolani, nyegezi mmepatekaMimi ni mchaga biashara zangu nafanyia mwanza kusema ukweli hii bidhaa hipo tena ni nyingi tu na auwezi linganisha mwanza na arusha hata kidogo mwanza ni baada ya dar, wingi wa watu, ukubwa wa city centre, mzunguko wa hela nk.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hakuna mgeni atapendelea brown bread unless awe na kisukari, ni mikate isio na ladha kabisa hata upake jam na peanut butter bado haina taste.Upatikanaji wa bidhaa fulani hutegemea demand ya bidhaa hiyo kwenye soko.
Ikiwa mji wa Mwanzo, wenyeji wake sio watumiaji wa Brown bread basi hakuna bakery itakayokubali kutengeneza aina hiyo ya mikate na kuingia hasara ya kukosa wanunuzi.
Arusha na Dar, kuna walaji wengi wa brown bread hivyo upatikanaji wake ni rahisi. Na hiyo ni sababu ya wingi wa wageni kutoka mataifa ya Ulaya ambao wengi wao hupendelea sana aina hiyo ya mikate.
Jiji la Mwanzo limejaa Wasukuma ambao hawajui kabisa brown bread ni kitu gani.
Royal Overn opposite na New Mwanza Hotel mbona ipo tele!Sio kweli....royal oven ipo tele
Nilipoenda Mara ya kwanza Mwanza, nilishangazwa sana na uwingi wa MbwaMwanza kuna wapika vitumbua wengi sana kuliko mkoa wowote Tanzania,Mwanza kuna mbwa koko wengi sana wanaozurura ovyo kuliko mkoa wowote Tanzania mpaka mjini Kati mfano Posta au kariakoo upishane na mbwa koko hii imenishangaza sana.
Chapati ni adimu sana mtaani inasemekana wanawake wa Mwanza kuchoma chapati ni kipengele ila hayo ya mkate wa brown ni mambo ya kizungu.
Kuna kule Kiseke jamani hupigi hatua 2 bila kukutana na mbwa koko 15. Yaani nahisi kiseke mbwa koko ni wengi kuliko watu wanaoishi. Jioni pale mjini wapika vitumbuka kila baada ya hatua moja.Mwanza kuna wapika vitumbua wengi sana kuliko mkoa wowote Tanzania,Mwanza kuna mbwa koko wengi sana wanaozurura ovyo kuliko mkoa wowote Tanzania mpaka mjini Kati mfano Posta au kariakoo upishane na mbwa koko hii imenishangaza sana.
Chapati ni adimu sana mtaani inasemekana wanawake wa Mwanza kuchoma chapati ni kipengele ila hayo ya mkate wa brown ni mambo ya kizungu.
Umewahi kuishi na Wazungu au kufanya kazi pamoja nao?Hakuna mgeni atapendelea brown bread unless awe na kisukari, ni mikate isio na ladha kabisa hata upake jam na peanut butter bado haina taste.
Masamaki ni makubwa kumbe yanakula na.vi π³π³π³Kila nikimbuka samaki wa mwanza na vile wanakata magogo ziwani nachoka..
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Kwenye uzi za Mwanza huwa upo chap sanaπππ the number one hater wa Mwanza.Kwa hiyo uumwe wewe kisukali afu uwalalamikie watu wa Mwanza? ππ
Ila kiukweli Ni Jiji la kishamba Sana
Hapana huwa hatumiliki choo lakini huwa tunamiliki matako yenu.Ivi mwanza wananchi kwa sasa wana miliki vyoo?