Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Unatfuta ligi etNiko apa mitaa ya nyamagana ..tena town kabisa, aise eti maeneno yote haya hakuna vyoo![]()
Unatfuta ligi etNiko apa mitaa ya nyamagana ..tena town kabisa, aise eti maeneno yote haya hakuna vyoo![]()
Ata dar inazidi majiji ya nchi za scandinavia kwa idadi ya magorofa lakini ndio tuseme nchi ya norway, sweden au denmark ni masikini, tumia akili za kichwa cha juu kuliko kutumia cha kichwa cha chini.Mwanza hii yenye magorofa tisa 😳😳😳
Utapoteza muda kwa huyo mla mirungi wa arusha.Unatfuta ligi et
Mimi sitafuti ligi mzee wangu, mimi nafuata takwimu zaidi .. ukicheki kitaifa mwanza ni miongoni mwa mikoa yenye umasikini Mkubwa sana. Kiuchumi yaweza kuwa juu ila wakazi wake wakawa na hali duni..mfano ujenzi wa vyoo mwanza ni shida kwa sababu ya umaskini wenu japo uchumi wameshika watu wachache na wengi ni wakuja.Unatfuta ligi et
Hapa unaweza ukawa sawa kabisa. Ila kwanini ninyi ni masikini sana kiasi kwamba hata supermarkets zenu zinakosa tu mkate ule wa brown? Tatizo siyo uchumi mkubwa, tatizo ni hali ya maisha ya watu wenu..iko chini sana ..wachache ndio wanna faidi mji wenu tena wageni ninyi wenyeji wasukuma kazi kuzaliana tuAta dar inazidi majiji ya nchi za scandinavia kwa idadi ya magorofa lakini ndio tuseme nchi ya norway, sweden au denmark ni masikini, tumia akili za kichwa cha juu kuliko kutumia cha kichwa cha chini.
Haya Mwanza haina gorofa ata moja lakini imewapiga gap kubwa la kiuchumi kuliko mikoa yenye magorofa maelfu.
Halafu ushamba mwingi sana umewajaa ninyi watu 🤣🤣🤣Utapoteza muda kwa huyo mla mirungi wa arusha.
Mngekuwa na Hali nzuri ya kiuchumi.msingepatwa na hikiMimi sitafuti ligi mzee wangu, mimi nafuata takwimu zaidi .. ukicheki kitaifa mwanza ni miongoni mwa mikoa yenye umasikini Mkubwa sana. Kiuchumi yaweza kuwa juu ila wakazi wake wakawa na hali duni..mfano ujenzi wa vyoo mwanza ni shida kwa sababu ya umaskini wenu japo uchumi wameshika watu wachache na wengi ni wakuja.
Endelea kujitekenya na kujifariji lakini ukweli mchungu ni kwamba Arusha mpaka Yesu anarudi haitakuja kuifikia Mwanza kamwe. Pole sana mwenye meno ya rangi kama kashata.
Napenda jinsi unavyowaelewesha Hawa mazwazwa ambao wanafikiri kinyumenyume..Sasa wewe unalalamika kwakuwa ulienda sehemu si yako,ulipaswa kwenda sehemu inayoendana na bajeti yako Mkuu.Hata Dar beer local inauzwa 1500-2000 lakini kuna sehemu inauzwa 9,000.Ni wewe tu unataka kwenda wapi.Wallet yako ndiyo ilipaswa ikuongoze.Siyo una pesa ya mawazo halafu unataka kwenda sehemu za wenye nazo utaishia kulalamika hata tofauti ya shs 100 tu![]()
Morogoro, hata maduka ya akina Mangi unapata brown breadHaya mambo sijui ya brown bread, brown sugar, low fat milk etc Tanzania bado sana. Wengi tumeyajua tulipoenda majuu hivyo wengi ambao hawatoka yanawatesa. Kwa mfano ukienda dukani unasema nipe sukari na unapewa sukari yoyote.
... Mwezi uliopita nilikuwa Mpanda, nako nikakuta wanatengeneza brown bread...Siyo lazima wenye sukari tuu bali yeyote ambaye hapendi kula starch nyingi.. Tujifunze kula healthy food..HUU MKATE UNAWAFAA WENYE KISUKARI IRINGA IPO SANA SUPERMARKETS
Duuuh halafu kesho akihangaika na kisukari utamdaidia?Mbona mnaendekeza kula sanayaani unaharibu siku nzima kutafuta mkate?ungekula mihogo ungepoteza nini?,anyway karibu Singida
Bado watu wengi humu wanaishi kizembe zembe sana...Sio lazima uumwe au usubiri mpaka upate ugonjwa ndio uanze kufuata masharti, wakati mwingine ni njia ya kujikinga.
Hao asubuhi wanapiga udaga chai hakuna..Kwa hiyo Ndio mshindie udaga?![]()
Ndiyo maana hiyo mikoa watoto wanaongoza kwa utapiamlo na baadae wanakuwa na udumavu wa akili. Sasa ukishakuwa na vijana wengi wenye udumavu wa akili basi tegemea kukosa ubunifu, utegemezi wa maamuzi muhimu (yaani wanategemea watu wengine wawafanyie maamuzi) etcHapa ni elimu duni, na uelewa finyu wa mambo ya msingi kama afya zetu na vyakula gani ni vizuri zaidi ya vingine.
Wataalamu (wasomi) wetu hawajaitendea haki taaluma yao.
Ni kweli bidhaa ipo sema wahudumu hawaijui, Kuna ndugu y6etu mmoja aliletwa nyumba kuuza bidhaa dukani sasa mteja alikuja akataka maharage ya soya akaambiwa hamna soya, Mteja akamwambia muuzaji mbona haya hapa nayaona kumbe muuzaji alikua haya jui kwasababu kwao hawalimi soya wana lima maharage ya tofauti na soya.Kuto kujua kwao, haimaanishi bidhaa hiyo hamna, wao huenda Dukani kununua mkate, lakini hawajaulizia mkate wa namna hiyo.
Mimi nipo Dar, ukiniuliza swali la wapi utapata mkate wa namna hiyo, sina jibu, kwa sababu haijawahi kuwa hitaji langu.