Ulienda Pizzeria ukakosa brown bread?Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Jamaa ana element za kidwanzi amekaa kishambashamba tu shobo nyingi huna haja ya kumjibu huyu..Sio kweli....royal oven ipo tele
Nazani ulikuwa umenisahau mkuu.Ohh, sorry brother
Acha nae mkuu huyu yeye anazani mwanza ni rock city mall tu ndio inapoishia..mshamba target yake ilikua ni kulinganisha Mwanza na Arusha..Ulienda Pizzeria ukakosa brown
Pro mwanza original..Nazani ulikuwa umenisahau mkuu.

Na wakati brown bread wanaonunua wengi wagonjwa wa sukariMwanza kuna mbadala wa vyakula vingi vya breakfast watu wengi wanapenda mihogo, magimbi, viazi, karanga za kuchemusha, supu ya samaki sato, ndizi ambazo ni natural and pure organic, ulisema Brown 🍞 kweli hapo utakuwa umekosea sana kwa wasukuma na wengine wa wakuja Mwanza yaani badala ya kula mihogo, ndizi, magimbi, viazi vya kukausha na fresh na supu ya samaki ambavyo ni pure organic ule brown bread.
Asifie tu Arusha atuachie mwanza yetuAcha nae mkuu huyu yeye anazani mwanza ni rock city mall tu ndio inapoishia..mshamba target yake ilikua ni kulinganisha Mwanza na Arusha..
Umelazimishwa kuishi mwanza mbona mnateseka sana?Aliewadanganya mwanza kuitwa jiji wakadhani na wao ni watu wa mjini aliikosea sana nchi.
Ama kweli maneno husadifu wajihi,nimecheka Sana nilipolinganisha avatar yako na maneno yako,ulikuwa unazitafutia wapi hizo ndala? Unvenunua kata mbuga tu zimejaa hapo makoroboi na ndio utamaduni wetu.Kuna wakati nikiwa mwanza nakumbuka kipindi makoroboi ikiwa hai nilizunguka jiji zima kutafuta kandamnili(ndala) huwezi amini nilikosa.
Tokea that day jiji la Mwanza nilidharau.
Uwongo mkubwa
Ndio maana ata hatuna shobo nako. Hakuna maajabu.Umelazimishwa kuishi mwanza mbona mnateseka sana?
Kwani umesikia mtu yoyote wa Mwanza ana shobo na miji yenu au ata kutamani kutembelea, we are proud na mwanza yetu na nyie mbaki na miji yenu.Ndio maana ata hatuna shobo nako. Hakuna maajabu.
Jamanii 🤣Endelea kujitekenya na kujifariji lakini ukweli mchungu ni kwamba Arusha mpaka Yesu anarudi haitakuja kuifikia Mwanza kamwe. Pole sana mwenye meno ya rangi kama kashata.
mabumunda au??Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Mwanza hii yenye magorofa tisa 😳😳😳Utakufa kwa chuki zenu, arusha bado ina safari ndefu kuikuta Mwanza😝😝😝😝