Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

Rock City

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,266
501
Wakuu kabisa,

Heshima mbele.

Napenda kutoa hoja. Kwamba, kwa ongezeko la members wa JF jijini Mwanza (Rock City), ningependekeza uwepo mjumuiko wa kuipaisha na kuunda umoja wa JF hapa jijini yaani (JF Mwanza wing) au (JF Rock City wing).

Kwa kuwa ongezeko hili la wadau linazidi kukua, kwa kuwa JF inazidi kupata umaarufu katika tasnia ya kupashana habari motomoto zisizolala, kwa kuwa kundi kubwa la jamii yenye uelewa na usomi kujivinjari na JF kila kukicha, na kwa kuwa jiji la Mwanza ni kubwa na wadau wengi wanaingia na kutoka...ni busara sana sasa sisi wakazi wa jiji hili kuunda kaumoja ketu (japo kwenye msafara wa mamba na kenge wamo) hiyo haijalishi.

Waheshimiwa sana wa Rock City na ng'ambo, naomba kutoa hoja.
 
aiseh pole sana hadi leo mlikuwa hamjaunda hicho chama,ngoja waje wadau utafanikiwa
 
Utakuwa wa KIBAGUZI kama wa FACEBOOK?
 
Mie napendekeza tukutane Villa Park leo usiku kuanzia saa 4
 
what for? Wewe ingia changia mada ukiwa na tatizo sema usaidiwe.

Ujue nini mkuu wangu, pale Dar kuna JE SACCOS ambayo lengo ni kuanzishwa na kukwamuana ambayo ilibuniwa na members wa JF (mimi nikiwemo). Ambapo imesua sana shauri ya leadership na wengine kujikuta wapo ng'ambo.

I personally advice that, kwa members tulio eneo fulani na (kwa njia moja au nyingine) tukajuana au hata kushirikiana kwa baadhi ya mambo, naimani tutafaulu kwa kusaidiana walau hata kihali.

Nikosoe where am wrong.
 
aiseh pole sana hadi leo mlikuwa hamjaunda hicho chama,ngoja waje wadau utafanikiwa

Tupe msaada kimawazo, kimuongozo. Muamko wa JF Arusha & Dar tunataka kuuongezea na hapa kwetu Mwanza.
 
Poa poa 2ko pamoja mkuu, ila wengne 2po nje ya mwanza itakuaje?
Somo,
As far as ndio tunajadili, tutaweka tarehe ambayo tutaweza kujumuika pamoja kwenye venue tutakayoona inafaa. No matter wat, tutawasiliana kwa ukaribu somo.
 
Mkuu tujuane kabisa kwa sura na majina yetu halisi.....ahhh....sijui itakuwaje.....sijui ndio point yako hiyo...wengine uchangiaji wetu unasababisha kutotaka kuonekana kabisa katika uhalisia wetu....think about..that.
 
Ha ha haaa, well noted chief.
 
Tatizo la kujuana ni unafiki,mkishajuana watu hawawezi kumkosoa mtu
'
"Shoga" yako au "Msela" wako akisema jambo huwezi kumkosoa hapa
'
Hapa Mwanza JF siku hizi ina wanachama wengi kidogo
'
Lakini sijui kama kufahamiana kuna tija!
 
Kaka ina maana huna hamu ya kunifahamu? Duh... Basi bwana
Tatizo la kujuana ni unafiki,mkishajuana watu hawawezi kumkosoa mtu
'
"Shoga" yako au "Msela" wako akisema jambo huwezi kumkosoa hapa
'
Hapa Mwanza JF siku hizi ina wanachama wengi kidogo
'
Lakini sijui kama kufahamiana kuna tija!
 
Kweloi hamtaki kujuana na watu jamani dah, vipi wamayo wa rock city wako wapi mbona kimya? We wakukutana Villa park saa 4 mtasikilizana na yale mabendi kweli? Nadhani iwe kama chai day. Once per year ukija jitambulishe tu kwa jina lako halisi hakuna haja ya ID. Tutakimbia hata vivuli vyetu sasa, mie nakuja huko mara kwa mara. Kila la heri.
 
JF Rock City tupo wengi sana tu, ila wengi ni waoga sana kukutana.

Kuna wanaosema kuonana ni "Unafiki" n.k. Kwani Wing zingine huwa wanafanyaje na sie tushindwe? Kumekuwa na Umoja na Mshikamano miongoni mwa member waliokutana mpaka wana Wenyeviti na Makatibu Mf. JF Arusha Wing, je wao wanakabiliana vipi na huo unafiki? Je wanashindwa kukosoana wanapokosea ndani ya JF?

Wanaosema hakuna tija kufahamiana... Hamkuona kilichofanyika JF Arusha Wing kwa kwenda kutoa mkono wa pole kwa Dada yetu KOKUTONA? Wale tulioshiriki kwa namna moja ama nyingine tuliweza kutambua umuhimu wa JF na dada zetu kama Madame B, Smile, KOKUTONA na wengine wanaufahamu umuhimu wa JF.. wanaweza kuwa mashahidi hapa.

Hakuna haja ya kufahamiana kwa majina halisi labda ikitokea nikakutana na wewe Rock City kisha nikatambua kuwa wewe ndiye Boss wangu potelea mbali, ila tutambuana kwa ID zetu za JF.

Katika party iliyofanyika mwanzoni mwa mwaka huu "White Party" kuna watu waliohudhuria kwa kuficha ID zao. Kama hutotaka kujulikana unaweza kuficha ID yako. Si lazima tukufahamu kwa ID yako kama hutotaka.

Ni mawazo yangu....
 
Last edited by a moderator:
M4n3no y4m3tok4 k4t1k4t1 y4 moyo

Back
Top Bottom