Natatua changamoto zako jijini Mwanza bila kuhitajika kufika

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
514
Kumekuwa na changamoto ya ushughulikiaji wa mambo mbalimbali ya kupata taarifa, ufatiliaji, na ujuaji wa bei ya bidhaa fulani kwa jiji lako pendwa la Mwanza

Nipo kukusaidia kutatua changamoto hizo bila kuhitaji wewe kufika jijini Mwanza mfano;

- Kupata mawasiliano ya taasisi fulani.

- Kupeleka barua kampuni au taasisi fulani.

- Kujua ada mbalimbali za mashule na utaratibu.

- Kukusaidia kuhakikisha mzigo wako unapakiwa vizuri.

- Kujua bidhaa fulani inaptikana wapi na kwa bei gani.

- Kwa haya machache na mengine mengi karibu, nikusaidie kwa gharama kidogo tu kukamilisha mambo yako bila kuhitajika kufika jijini Mwanza.

Uaminifu ndio mtaji wangu, karibu sana.

Mungu ni wetu sote.

Karibu PM kunipa maelekezo ya kazi yako - 0626456047.
 
Karibuni nikuhudumie Sasa kwa gharama ya kawaida
 
Karibuni niwahudumie kwq uaminifu mkubwa sana na kwa gharama ndogo mnoo
 
Karibuni karibuni niwahudumie uaminifu ndio mtaji wangu
 
Back
Top Bottom