Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Hapa Arusha hamna Mall yoyote..ni visupermarket vya wahindi tu...Bora hata Moshi ina Nakumatt alianzia kule kabla hajaja hapa.

Arusha ipi hiyo. Kumbe huijiu arusha karibu nikutembeze hiyo nakummat ya mosh inamilikiwa na wachaga kumbe . Karibu arusha nikutembeze tarangire, manyara, na arusha national park
 
Acheni kuifananisha Mwanza na upuuzi,Arusha bado ni Manispaa tu...hakuna cha maana japo taasisi kubwa za kiserikali Kama TANAPA,TAEC,AICC zina makao Makuu...ila Mwanza inajengwa na wanamwanza wenyewe...Kutoka Igoma mpaka Buhongwa ni Route ndeefu ila.bado uko ndani ya jiji na hamna uswahili...Mwanza ni kubwa imepanuka na huduma kubwa kubwa za kibiashara na si Arusha...
Niko Arusha mwaka wa Sita sasa ila nikifika Mwanza najisikia raha...hasa nikiwa Kenyatta road kuelekea Airport ukiona mwambao wa Victoria ni Raha hasa...Huku Arusha ni viroba na bangi tu...sehem ambayo iko vzuri ndo inaendelea kwa sasa ni Njiro,tena Mwisho ni hapa Njiro kwa Msola...ila maeneo mangi ni uswahili afu kamji ni kadogo mno.
Mwanza ndo jiji la pili kwa ukubwa,wingi wa watu na kiuchumi...Jamani mnapoandika vitu mfikrie vzuri.MWANZA ipo Top five ya majiji Afrika Mashariki..na si Manispaa ya Arusha
Kwenye suala la njiro ni mtaa wa kawaida tu ukilinganisha na buswelu,msiseme Njiro PPF pale ni Olorieni na si Njiro(Engutoto).
And by the way jiji zima la arusha eti limepimwa njiro tu!!kote huko sakina sijui kijenge,sombetini,mbauda,n.k ni squatter tu.
Wakiona hali ya hewa ya ubaridi, wageni kadhaa,ganja nzuri na maghorofa mawili matatu ya nssf wanaona ni kama uswisi eti.Wakitaka kwenda beach wanaenda duluti hahaha wakipelekwa Hapo Tunza tu sijui watasema wako Ibiza.
 
Mwanza unapanuka kwa kasi sana,na majengo marefu yanajengwa
 
Poa parking ipo manake hapo napo pana hekaheka anyway inavoonekana itakuwa pouwa sana watu wanajiongeza wazee wa mererani,wahindi au?
Bado sijajua mmiliki ni nani ila kuna tetesi kwamba ni watoto wa nyumbani...parking ipo ya kutosha.
 
Back
Top Bottom