Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inakuwa kwa haraka sana jaribu kuangalia sehemu hizi Busweru Igoma kishiri Nyasaka Mahina Nyamongoro mwaka 2002 palikuwa bush kabisa lakin kwa sasa watu wanajenga kwa kasi huduma za kijamii zinapatikana kinachotia doa jiji la mwanza ni uswahili wa mitaa hii mabatini igogo uhuru ni shida
 
Kasi imepungua kwasasa
Japo sikatai haikui inakua ila sio kwa kasi ile
 
Teh!.Wee chalii vipi kwani mashindano lazima ushinde ujue naumia jiji langu nalolipenda linakuwa nyuma kuchangia uchumi wa taifa.Ila sikubali nimegoogle sijaridhika naenda kusaka data benki kuu hapa arusha usintanie kabisa.
Ha hahah hahahahah
 
Mwanza inakuwa kwa haraka sana jaribu kuangalia sehemu hizi Busweru Igoma kishiri Nyasaka Mahina Nyamongoro mwaka 2002 palikuwa bush kabisa lakin kwa sasa watu wanajenga kwa kasi huduma za kijamii zinapatikana kinachotia doa jiji la mwanza ni uswahili wa mitaa hii mabatini igogo uhuru ni shida
hata huku Arusha maeneo kama Kwa Mrombo, Engosheraton, Olkereyan & Chekereni kulikuwa ni mapori lakini kwa sasa mambo yamebadilika kwa kiasi kikubwa.
 
Wataelewa tu....hiyo nasikia ujenzi unaanza mapema sana next year.
Hapo ndo umemaliza Arusha hakuna sehemu nyingine
Arusha bado sana kwa Mwanza.
Aicc hospital walikuwa na mpango wa kujenga ghorofa tisa,imefikia wapi?
Ule mpango wa kujenga shoprite kubwa pale soweto ukoje?
mji wa kisasa maeneo ya azimio na Burka vipi?
miradi kama hiyo ikitekelezwa basi Arusha inaweza ikainuka
 
Haha hauna picha za jakaya kikwete building hii inajengwa opp na b.o.t ikiisha n level nyngne.
eac62b8d18dad635eae1fd7a179414cd.jpg
 
MOTOCHINI Aisee wewe ni mbishi sana unasema kasi ya ukuaji wa mji imepungua kwa lipi sasa?
 
Tungekuwa tunashindana maendeleo kwa familia zetu ambako tunatoa mchango 100% ingekuwa poa zaidi na ingesaidia kuboresha maisha yetu kakini saivi jemba imekomaa hadi misuli usoni inasimama eti Arusha ni kubwa zaidi ya Mwanza, mara jiji la Mbeya kama kijiji wakati yeye analala kwenye mbavu za mbwa.
Pia hujui kuwa hata mimi wa Matalawe nina haki ya kujivuania Arusha, Mwanza, Dodoma n.k. maana ni sehem ya nchi yangu?
 
Sasa humu JF tunajuana !?
Au unataka kudanganywa
Mtu alete picha za jirani kama ni kwao
 
Haha wasu.... wanaongea kilugha[emoji5][emoji5]
 
Back
Top Bottom