gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Kweli manake mara sijui dodoma versus moshi sasa arusha versus mwanza sasa tulioko huku jorodom tutashindanishwa na nani?tunajisikia unyonge sana!Aaaagh!Kuna faida gani haswa. ...maana ukiwa mtanzania uko huru kukaa jiji lolote