Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Kichwa cha habari na yaliyomo ndani ni tofauti kabisa.Soma tittle vizuri halfu soma maelezo yake ya mwanzo,
Ukiahaelewa endelea na vinavyofuata
(KAMA KICHWA CHA HABARI KINAVYOJIELEZA)
Kachanganya mambo mara jiji mara kimkoa sijui kasimamia wapi sasa jiji au kimkoa?