barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Rais wao ni Lema, unategemea nini?
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Baada ya kupiga hela za makinikia huku kanda ya ziwa niliamua niende zangu kaskazin nikatulie kidogo huku nikiponda raha, nilikuwa na mtoto mkali sana mrefu mweupe
Safari yangu ilianza nikapanda bombadia ya anko magu had kia, Baada ya kufika kia nilichukua usafir wa moja kwa moja had arusha, baada ya kufika arusha sikuuamin macho yangu
Kimkoa ni kidogo sana na watu wake hawana uelewa kwa baadh ya mambo ingawa wanajifanya ni watu wanaoish maisha ya kuigiza igiza
Unatembea kilomita tano tiar umemaliza mkoa mzima siyo kama mwanza ambayo inabid utembee zaid ya kilomita 50 ndo umalize mji
Kwa kifup arusha inabebwa na promo haina kitu kabisa
Level za arusha ni iringa na moro na dodoma
Kulinganisha kimkoa cha arusha na jiji kubwa kama mwanza ni kuchuma zambi za bure na ni tiket ya kwenda moton moja kwa moja
Mwanza is the best
NANYUPU