Tabash yamashta
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 271
- 210
Uwezi.....fananisha R.chugger na eneo LA wavuvi, Chezea R.chugger weeeeye!!, Muji wama Raha AR
Wewe unatafuta ugomvi na watu wa Arusha.Juzkat nilkuwa mwanza for the first time for sure pameendelea more than arusha..although mie ni borntown arusha og yan i appreciate that mwnz n next level..ina deserve kwakwel bgup rockcity.
I must be honestyWewe unatafuta ugomvi na watu wa Arusha.
Hamna kitu huyuLengo lako ni nini....?
Tatizo ni wahamiaji, tena sio wa mbali bali ni wa visiwa vya ziwa victoria na wakurya. Hawa ndio wanarudisha mambo nyuma na tabia zao za ajabu ajabu.Ni kweli lakini hii sio kulinganisha
Tunataka kujua tatizo nini Mwanza