Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,471
Wengi wanaolinganisha mwanza na Arusha hawana ufahamu mpana wa hii miji. Mtu kama unahela yako kukuwezesha kutembea na kujionea taswila mbalimbali ya hii miji huwezi kulinganisha mwanza na Arusha. Mwanza ndo jiji la pili baada Dar. Miji iliyobaki Arusha, Tanga, mbea, na juzijuzi Dodoma imepewa hadhi ya kuitwa majiji kwasababu ya kisiasa kama motisha ya kuifanya ikue. Lakini bado sana zinafaa ziitwe manispaa