Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Sasa kama ni dar pekee mbona huwezi kusema bado sana maana hata wakazi wa mwanza huwa hatuifananishi na dar japo vingi vilivyoko dar na mwanza vipo labda ukiachilia wingi wa klabu za dar vingine sioni tofauti sana
 
huwa mnaifananisha sana usikatae..mimi mwanza nimekaa sana na kwa nature ya kazi niliyokuwa nafanya nilitembea sana hakuna kitu huko japo mnajitutumua.
 
huwa mnaifananisha sana usikatae..mimi mwanza nimekaa sana na kwa nature ya kazi niliyokuwa nafanya nilitembea sana hakuna kitu huko japo mnajitutumua.
Ok basi hakuna shida kwani ungependa nini kiwepo ili iwe kama unavyotaka?
 
arusha panajitahidi lakini Mwanza ni habari nyengine mazee.......arusha ni easy kuizunguka ukaimaliza yote ndani ya nusu siku lakini mwanza hata kwa siku nzima huwezi.........na soon wilaya ya misungwi itakua ndani ya jiji.

arusha ndio wawe makini sana maana Dodoma ishawakaribia kabisaaa, japo kimiundombinu Dodoma ni zaidi ya Arusha sasa hivi.

mleta uzi next thread ulete mfanano wa Dodoma vs Arusha
 
Nimefika mwanza kwa mara nyingine kwaajili ya mapumziko ni meichagua kutokana na sifa ambayo inayo huko nje nikaona si haba kuja kujipatia hivyo visemavyo
Mji wa mwanza umepooza saaaana hauendani na sifa ambayo unao huko nje, nyumba nyingi rangi zimepauka na wala wamiliki hawana mpango wa kuzikarabati

barabara za mjini zimejaa mashimo tena za mjini haswaaa ninge mshauri mh magu amuamishie Paul Makonda aje mwanza awanyooshe manake wasukuma, wakurya na wajaluo wamefanya mwanza kupooza
Asante japo kiduuuchu nimeweza toa dukuduku langu kooni
Kuna siku nilsafr kutoka arusha to mwanza asee from nzega to shinyanga ile barabara ina mashimo adi nilipasua tairi asee ni hatari
 
Kuna siku nilsafr kutoka arusha to mwanza asee from nzega to shinyanga ile barabara ina mashimo adi nilipasua tairi asee ni hatari
Aisee mbona uongo wana? Au unaongelea gari la nnndotoni? Sijawahi kuona kitu kama hicho, barabara ni nzuri sana, labda uongelee kutoka shinyanga kuja mwanza.
 
It's so unwise kulinganisha Mwanza na Arusha, Mwanza imeshaungana na wilaya ya Magu upande wa kisesa, Misungwi upande wa Usagara, na Sengerema upande wa Kamanga, na sonos ya singapore ambayo inatengeneza new master plan ya jiji imeshatoa proposal ya kumegwa magu, misungwi na sengerema ziingie jijini ili mji upate sehemu ya kukua zaidi then unalinganisha na Arusha? it's like comparing a giant na mbilikimo, Dodoma tu in 5 years time itakuwa imeiweka Arusha nyuma, na kwanza arusha sio jiji, Serikali haijawahi ipa arusha hadhi ya jiji bado ni manispaa! Mwanza ina manispaa 2 and soon itaundwa manispaa ya 3.
 
Aisee mbona uongo wana? Au unaongelea gari la nnndotoni? Sijawahi kuona kitu kama hicho, barabara ni nzuri sana, labda uongelee kutoka shinyanga kuja mwanza.
N real man kutokea apo kwenye roundabout inayoenda shinyang kahama kabla hujafk Shinyanga mjn hatar nilikutana na bonge moja la shimo left tyres zote zili basti.
 
N real man kutokea apo kwenye roundabout inayoenda shinyang kahama kabla hujafk Shinyanga mjn hatar nilikutana na bonge moja la shimo left tyres zote zili basti.
Pole, kikubwa ulitoka salama
 
Back
Top Bottom