Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,812
- 44,609
Hapana mkuu hapa hatulinganish jiji la mwanza na kimkoa cha arushaHivi kati ya VATICAN CITY NA MWANZA IPI NZURI?
Naona hii battle imeanza ten!!
Hapana mkuu hapa hatulinganish jiji la mwanza na kimkoa cha arushaHivi kati ya VATICAN CITY NA MWANZA IPI NZURI?
Naona hii battle imeanza ten!!
Hivi uvisemavyo havihusiani na Arusha kuwa jiji viko nje ya mji kabisaNaona hii Changamsha kijiwe tu
Ref Geneva of Afrika ni wapi?
Maajabu ya dunia Ngorongoro Crater
Shifting sand/sand dunes
Nyayo za mtu wa kale.
Arusha National park
Tarangire nationa park
Ngorongoro conservation Area
Hot Springs
Super highway
Umetoka Arusha mjini mpaka Ngorongoro wewe
Umetoka Arusha mjini mpaka Monduli
Umetoka Arusha mjini mpaka kwa Mrombo
Ila wote sisi Watanzania na mwl Nyerere alisema tuwaogope sana watu wanaotaka kutugawa kwa vigezo vya makabila,kimkoa...nk
Hahaaaaa umepanic kaka ngoja twende pole pole utaelewa tu arusha level zake ni dodoma mkuuHapo kwenye bold.....Ningeshanga kama hii mada isingeletwa na mnya ziwani...
Arusha, Arusha Baby, Half London of Tz, R moko, Geneva of Afrika inawapa kiwewe sana nyie mnakunya ziwani
[emoji3] hahaha hamna mkuu...huyu dogo anachosha na fix zake kila kukicha... Sasa wewe kwa mfano ni wapi Arusha unatembea kilometa 5 umeshamaliza mji?? Hili suala linaingia akilini?Sijamzoea joseverest mwenye povu ,, I guess identity imeihackiwa.
Arusha ni jiji pekee ambalo vijana weng hawana kaz za kufanyaMkuu Arusha inaongoza kwa nyumba za mbavu za mbwa Tanzania
Hata Usariver hajafika huyu, kaishia KikatitiNDIO SHDA YA HELA ZA KUUZA NG'OMBE MUDA WOTE UNAJIFUNGIA NDANI UNAOGOPA KUIBIWA.ULISHIA USARIVER MSUKUMA WA WATU UKARUDI
Mtoa Uzi Unaposema kilometa "TANO"Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Baada ya kupiga hela za makinikia huku kanda ya ziwa niliamua niende zangu kaskazin nikatulie kidogo huku nikiponda raha, nilikuwa na mtoto mkali sana mrefu mweupe
Safari yangu ilianza nikapanda bombadia ya anko magu had kia, Baada ya kufika kia nilichukua usafir wa moja kwa moja had arusha, baada ya kufika arusha sikuuamin macho yangu
Kimkoa ni kidogo sana na watu wake hawana uelewa kwa baadh ya mambo ingawa wanajifanya ni watu wanaoish maisha ya kuigiza igiza
Unatembea kilomita tano tiar umemaliza mkoa mzima siyo kama mwanza ambayo inabid utembee zaid ya kilomita 50 ndo umalize mji
Kwa kifup arusha inabebwa na promo haina kitu kabisa
Level za arusha ni iringa na moro na dodoma
Kulinganisha kimkoa cha arusha na jiji kubwa kama mwanza ni kuchuma zambi za bure na ni tiket ya kwenda moton moja kwa moja
Mwanza is the best
NANYUPU
Naona mmeanza kuikataa arusha yenu mdogo mdogonazani ulienda kibondo kwa mganga ww hujaenda Arusha
NDIO SHDA YA HELA ZA KUUZA NG'OMBE MUDA WOTE UNAJIFUNGIA NDANI UNAOGOPA KUIBIWA.ULISHIA USARIVER MSUKUMA WA WATU UKARUDI
Sasa niisifie arusha kwa lipi mkuu kimkoa kizima hakuna beach utakuna na mabwawa tu sasa arusha niisifie kwa lip mkuuHizo hela zako chenji maiti zitakuwa zilikufikisha Cheka Ung'twe.
Kama ungekuwa na hela ungekuja na uzi wa kuisifia Arusha.
Tatizo sio wewe, tatizo ni mfuko wako umekuponza.
Pambana na hali yako. Ila ujue hakuna mahali kama Arusha asee. Usifananishe Arusha na vimikoa vyakipuuzi
Umeoma mkuu[emoji817] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818]
Umekaona kastand kao? [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Arusha hata mwenyewe nimepashangaa ukilinganisha na hizo kelele zao za kimasai...
Watu wake hovyoo kabisa, hawana hata kaustaarab, ni kimasai masai tuuuuu...
Ingia barabarani sasa, hawana sheria ya barabara na ukienda kwenye mataa hakuna anayejali taa ya Kijani wala nyekundu....
Hiyo barabara mpya walopewa sasa, kwenye zebra ndio sehemu za kuvukia bodaboda na hawana utaratibu wa barabara mbili kwamba hii inakwenda na hii unarudi, no!.. Wao yoyote Ile wanaingia....
Kamji kao ni kadoooogo, ukianzia kwa Mrombo, unaenda huo Ngaramtoni ya juu, sakina, sanawari, sekei, kwa mrefu, tengeru, USA, na urudie Moshono unamalizia mjini Kati yao Ngarenaro kwa dogo janja [emoji16] [emoji16] [emoji16] bhaaassss!.... Hamna kitu babu....!