Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Kwa hiyo baada ya mfano zinabomolewa...?!Hizo ni nyumba za mfano
Kwa hiyo baada ya mfano zinabomolewa...?!Hizo ni nyumba za mfano
ila ata akitaka itangazwe ya pili....umuhimu wake ni nini hasaMkuu wa nchi anatokea ukanda huo na naona inatafutwa excuse ili wakiwa wanapendelewa kwa baadhi ya miradi na huduma tusiulize...
Haiingii akilini Mwanza ilikuwa nyuma ya Arusha kwa ukusanyaji mara 2.3 (yaani mapato ya Mwanza uyazidishe mara 2.3) ndiyo yafikie ya Arusha kwa makusanyo ya mwaka uliopita alafu mwaka huu eti Mwanza imeizidi Arusha.
Labda mjiulize tu hayo makusanyo yamewezaje kuongezeka kwa kasi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja tu? Kuna nini kipya huko? Au wauza mapanki wamejiandikisha kwa wingi?
Cha pili, mbona hayo mapato yenyewe hatutajiwi ni kiasi gani? Eti vinara alafu hatuambiwi wamekusanya kiasi gani, kingine kwani mwaka wa ukusanyaji mapato umeisha? July kumbe ishafika? Hivi ni kwanini sikuhizi hata TRA hawaweki takwimu za ukusanyaji za kila mwezi kama walivyokuwa wanafanya kipindi cha JK? Kumbe hamuweki ili mje mpike eti Mwanza imekuwa ya pili?
Huyo baba yenu ataendelea kuwabeba lakini wala hatowasaidia bali anawapumbaza tu.. Alilazimisha watu watangaze makusanyo feki kumbe hazina pesa hakuna na sasa analazimisha Mwanza itangazwe ya pili. Alichokosea zaidi huwezi ku sum up Mwanza ya pili wakati kuna April, May na June mapato hayajakusanywa bado..
kwa hiyo arusha hakuna Nakumat wala shoprite?
Hili swali gumu kukujibuKwa hiyo baada ya mfano zinabomolewa...?!
Vyeti ndio kitugani!!yaani akili zako sijui vp, kwani majengo marefu ndio nini.... sijui hata kama unavyeti
Mkuu wa nchi anatokea ukanda huo na naona inatafutwa excuse ili wakiwa wanapendelewa kwa baadhi ya miradi na huduma tusiulize...
Haiingii akilini Mwanza ilikuwa nyuma ya Arusha kwa ukusanyaji mara 2.3 (yaani mapato ya Mwanza uyazidishe mara 2.3) ndiyo yafikie ya Arusha kwa makusanyo ya mwaka uliopita alafu mwaka huu eti Mwanza imeizidi Arusha.
Labda mjiulize tu hayo makusanyo yamewezaje kuongezeka kwa kasi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja tu? Kuna nini kipya huko? Au wauza mapanki wamejiandikisha kwa wingi?
Cha pili, mbona hayo mapato yenyewe hatutajiwi ni kiasi gani? Eti vinara alafu hatuambiwi wamekusanya kiasi gani, kingine kwani mwaka wa ukusanyaji mapato umeisha? July kumbe ishafika? Hivi ni kwanini sikuhizi hata TRA hawaweki takwimu za ukusanyaji za kila mwezi kama walivyokuwa wanafanya kipindi cha JK? Kumbe hamuweki ili mje mpike eti Mwanza imekuwa ya pili?
Huyo baba yenu ataendelea kuwabeba lakini wala hatowasaidia bali anawapumbaza tu.. Alilazimisha watu watangaze makusanyo feki kumbe hazina pesa hakuna na sasa analazimisha Mwanza itangazwe ya pili. Alichokosea zaidi huwezi ku sum up Mwanza ya pili wakati kuna April, May na June mapato hayajakusanywa bado..
Mkuu sijui kama una uelewa wowote kwenye masuala ya ukusanyaji mapato..Sijaziona hizo takwimu za TRA ila kwa upande wa Local Government, Takwimu siku zote Mwanza ipo juu...
Ebu nieletee basi wewe data sio maneno maneno...Mbona povu sana.....nyie ndo mlikuwa mnatoka fake data....ili mjiletee miradi huko.....
Mwanza habari nyingine mkuu!Hayo madharau waambie wenzo wa mwanza kwa kuwa na mji kmeo wala co jj unathubutu kuilinganisha jj la a town na hicho k mji cha mwanza
Safi mkuuWewe mtoa mada inaonekana umeingia leo mwanza yaani mwanza ya miaka ile 2002 ulinganishe na mwanza ya 2016 acha utani mwanza imepiga hatua sana ninachokushauri nenda kwenu kigoma mkajenge dubai mliyoahidiwa na jk mwanza yetu tuachie wenyewe
MoshonoKuna kila kitu na jiji limepangika vizuri tofauti na huku kwetu. Hivi jiji la Arusha ukitoka mianzini hadi sanawari kuelekea usa river linaishia wapi?
Sio kwa mahaba hayo mkuu naishi arusha,, arusha pakawaida sana,,,daladala mwisho saa tatu ndo unaweza ita jiji??*****
acha wivu / wivu ukizidi hugeuka uchawi.
Arusha ikiongeza bidii kidogo yaweza kuwa kama NAIROBI.
N.B.
USHINDANI NI KITU CHEMA KATI YA MIJI NA MIJI MAANA HATIMAYE MALENGO HUFIKIWA.
BIGUP A-TOWN.
Uko sahihi mkuu angalau jwa mrefu kimandolu bado padogoArusha ndo home lakini bado sana kwa mwanza,
eneo la ukubwa wa mji ni mdogo sana,
Na hata hako kaeneo kadogo bado vijumba vidogo vidogo vya uswahilini vimejaa mno.
Jiji gani halina double road?
Arusha ingekuwa sawa na Mwanza endapo eneo la mji lingeanzia kimandolu mpaka kisongo na kote kuwe na maghorofa na miundombinu ya uhakika na hapo ni kwa urefu na kwa upana utoke ngaramtoni hadi kwa mrombo na njiro.
Ukuaji wa Arusha umedumaa sana.
kweli wasukuma mmezidi ushambaVyeti ndio kitugani!!
Wacha ujinga wako wewe
Mwanza tumekosa Majengo marefu tu
walau Mawili
Akili zako zina kaulalinikweli wasukuma mmezidi ushamba
Kuna tuma jenge Tuchache tunawafanya wajione JijiSio kwa mahaba hayo mkuu naishi arusha,, arusha pakawaida sana,,,daladala mwisho saa tatu ndo unaweza ita jiji??
Sijaziona hizo takwimu za TRA ila kwa upande wa Local Government, Takwimu siku zote Mwanza ipo juu...
Pale Sahara zinapaki ndege au una hamu tu ya kujibiwa??Mwanza stand ya Daladala ni ipi ya maana mkuu