Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,168
- 28,819
Hizi picha wenzako walishazi-post sana page za nyuma ila wakaangukia pua...Sijui kwann unarudia matapishi ya wenzako .
Kwa Skyscraper Mwanza mtasubiri sana kwa Arusha.....

Haha haha, kwa maneno labda ila kiuhalisia mwanza iko juu vibaya mno.Hii ligi tulishamaliza kitambo sana kiongoz...nadhan mmeshaelew kwann arusha inaitwa geniva of Africa...!
Kwa skyscraper, mwanza ipo juu kiongozi sema project ya NHC ikikamillika itaongeza value kwa arusha. Ila kwa wakati huu hata kesho bado mwanza itabaki kuwa juu labda baadaye sana.Hizi picha wenzako walishazi-post sana page za nyuma ila wakaangukia pua...Sijui kwann unarudia matapishi ya wenzako .
Kwa Skyscraper Mwanza mtasubiri sana kwa Arusha.....
mkuu umesoma jografia?
Nimeona anasema imekuwa ya pili nyuma ya Dar es salaam...Mwanza yapongezwa kukusanya kodi kwa wingi
FisadiKuu , Mkuu wa chuo, Chong chung, Mchomi Jr, Jason
Mbona wanajenga kama Mabweni...?!![]()
![]()
Naona safari city imebuma....NHC wametilia shaka uwezo wa watu wa Arusha kuparchase nyumba, sasa ni mwendo wa nyumba za bei nafuu Otorong'ong'o uko wapi
Nimeona anasema imekuwa ya pili nyuma ya Dar es salaam...
Mkuu wa nchi anatokea ukanda huo na naona inatafutwa excuse ili wakiwa wanapendelewa kwa baadhi ya miradi na huduma tusiulize...Mwanza yapongezwa kukusanya kodi kwa wingi
FisadiKuu , Mkuu wa chuo, Chong chung, Mchomi Jr, Jason
Bahati nzuri walisema kutakuwa na nyumba za hali ya juu, kati na chini... Kitu kizuri ni kwamba mradi umeanza wakati nyie mlipiga kelele hakutajengwa kitu.. Sasa hii ni aibu yenu..![]()
![]()
Naona safari city imebuma....NHC wametilia shaka uwezo wa watu wa Arusha kuparchase nyumba, sasa ni mwendo wa nyumba za bei nafuu Otorong'ong'o uko wapi
Hizo ni nyumba za mfano
Hii kaliBahati nzuri walisema kutakuwa na nyumba za hali ya juu, kati na chini... Kitu kizuri ni kwamba mradi umeanza wakati nyie mlipiga kelele hakutajengwa kitu.. Sasa hii ni aibu yenu..
Ila Mwanza yetu ilianza kuyumbaMwanza yapongezwa kukusanya kodi kwa wingi
FisadiKuu , Mkuu wa chuo, Chong chung, Mchomi Jr, Jason
yaani akili zako sijui vp, kwani majengo marefu ndio nini.... sijui hata kama unavyetiMagu aikumbuke Mwanza yetu
inatia Aibu kwenye majengo Marefu hatuna
kwanini!!!
Arusha hakuna kitu ni kijijiniMkuu wa nchi anatokea ukanda huo na naona inatafutwa excuse ili wakiwa wanapendelewa kwa baadhi ya miradi na huduma tusiulize...
Haiingii akilini Mwanza ilikuwa nyuma ya Arusha kwa ukusanyaji mara 2.3 (yaani mapato ya Mwanza uyazidishe mara 2.3) ndiyo yafikie ya Arusha kwa makusanyo ya mwaka uliopita alafu mwaka huu eti Mwanza imeizidi Arusha.
Labda mjiulize tu hayo makusanyo yamewezaje kuongezeka kwa kasi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja tu? Kuna nini kipya huko? Au wauza mapanki wamejiandikisha kwa wingi?
Cha pili, mbona hayo mapato yenyewe hatutajiwi ni kiasi gani? Eti vinara alafu hatuambiwi wamekusanya kiasi gani, kingine kwani mwaka wa ukusanyaji mapato umeisha? July kumbe ishafika? Hivi ni kwanini sikuhizi hata TRA hawaweki takwimu za ukusanyaji za kila mwezi kama walivyokuwa wanafanya kipindi cha JK? Kumbe hamuweki ili mje mpike eti Mwanza imekuwa ya pili?
Huyo baba yenu ataendelea kuwabeba lakini wala hatowasaidia bali anawapumbaza tu.. Alilazimisha watu watangaze makusanyo feki kumbe hazina pesa hakuna na sasa analazimisha Mwanza itangazwe ya pili. Alichokosea zaidi huwezi ku sum up Mwanza ya pili wakati kuna April, May na June mapato hayajakusanywa bado..
Sijaziona hizo takwimu za TRA ila kwa upande wa Local Government, Takwimu siku zote Mwanza ipo juu...Mkuu wa nchi anatokea ukanda huo na naona inatafutwa excuse ili wakiwa wanapendelewa kwa baadhi ya miradi na huduma tusiulize...