Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Hahaha kama kawaida yao wanazani huku ni mabatini

ila pale unga kuna slums hatarii...usiponyanyua kichwa kuangalia juu walau uone vighorofa vya PPF, Unaweza kudhani upo mahali fulani umasaini
 
Elewa kwanza kabla ya.....
TRA.png
haya nitafsirie hii report ya TRA Mtwara wameshawapita Arusha tumewapita almost 3 times yet mnajilinganisha na sisi
 
Mwanza yapongezwa kukusanya kodi kwa wingi
Kuchapa

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo

0 Comments

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeupongeza Mkoa wa Mwanza kwa kuwa moja ya vinara wa ukusanyaji wa mapato nchini, kwani takwimu zilizopo zinaonesha kwamba Mwanza ni ya pili nyuma ya Dar es Salaam.

Pongezi hizo zimetolewa kwenye Jukwaa la Biashara na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo.

Pamoja na pongezi hizo, Kayombo alisistiza umuhimu wa wafanyabiashara kulipa kodi kwani ndio msingi wa serikali kutoa huduma bora kwa wananchi.

Kayombo amewatadharisha wafanyabiashara nchini kuepuka vishoka wanaodai fedha kwa ajili ya kupewa namba ya mlipakodi (TIN).

“Mamlaka yetu yanatoa TIN bure kabisa. Kumekuwa na tatizo la vishoka wanadai pesa kwa wateja wetu ili wapate TIN kwa haraka jambo ambalo ni kinyume na maadili,’’ alisema Kayombo.

Meneja wa Mamlaka ya Elimu (TRA), Diana Masala amewaomba wadau mbalimbali wajitahidi kuwafichua watu wasiolipa kodi ili wachukuliwe hatua za kisheria.

Masala alisema TRA itaendelea kutoa elimu kuhusiana na masuala ya kodi kwa majukwaa kama la Mwanza ili wananchi wapate elimu sahihi juu ya kodi.

“Natoa tahadhari kwa wafanyabiashara wote wanaotumia vibaya mashine za kielektroniki (EFD) kwa kughushi risiti za mashine hizo, tutwachukulia hatua za kisheria,” alisema Masala.

Halikadhalika aliwataka wote wanaouza vyombo vya moto kuhakikisha wanabadilisha umiliki wa vyombo hivyo ili kuepuka tatizo la kuendelea kudaiwa wao kodi kodi.

Mwanza yapongezwa kukusanya kodi kwa wingi

Watu wa chuga makabrasha yenu yanaonyesha Mwanza imezidiwa na iringa, inabidi muyaelewe kwanza kabla ya kuanza kushout, mpaka sasa Mwanza ipo only Behind DSM...
 
Leta valid information sio mazungumzo ya magazetini tunataka confidential TRA chart report sio soga
 
View attachment 496974 haya nitafsirie hii report ya TRA Mtwara wameshawapita Arusha tumewapita almost 3 times yet mnajilinganisha na sisi
Ndio maana nilishangaa.. Mwaka jana tuliwapita kwa 2.3 na mwaka huu naona mpaka December 2016 tumewapiga kwa 3 times.. Hizi data wanazipika sababu labda yule aliyeka magogoni amewaambia kufanya hivyo.

Haiwezekani useme eti wamevunja record wakati hata hayo makusanyo huyatangazi.. Hawa watu ni wa ajabu ajabu kweli..
 
2014-15.png
2015-16.PNG

Kutoka TRA

Inawezekana wana vyanzo vingi vya mapato zaidi ya kodi. Zikipatikana data za halmashauri!
 
View attachment 497098 View attachment 497099
Kutoka TRA

Inawezekana wana vyanzo vingi vya mapato zaidi ya kodi. Zikipatikana data za halmashauri!
Mkuu kwenye vyanzo vya Jiji/Manispaa siwezi kubisha huko sababu kila Manispaa ina vyake.. Ila kwa makusanyo makubwa kama ya TRA Mwanza haiwezi kuizidi Arusha hata kidogo pamoja na jitihada zao za kutaka kuhamisha TANAPA kuipeleka Serengeti ni chuki binafsi tu za hao walioko magogoni wakidhani wakihamisha wataikomoa Arusha, wakati almost 99% ya Tours Company ziko Arusha na Moshi..
 
Kwani kuna lipi Arusha
Mpaka kuidharau Mwanza!?

Arusha hakuna lolote mji wenyewe kilometa 1 za mraba

Mwanza level nyingine bwana
Tafuta thread moja humu inaitwa Arusha ndo ujue unaongelea nini. Sio kuleta ubashite hapa
 
Mwanza waache kufanya biashara kwa kutumia waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanza hairudi nyuma best, na siko hapa kwa aajili ya kusema mji upi bora ila mwanza nime kaa kwa miaka zaidi ya mitano, arusha nimkeaaa kwa zaidi ya miaka 3. nina hoja 10 za kuichambua hii miji miwili
mtizamo wangu ni huu.
1. kwa kipimo cha hali ya hewa na mazingira Arusha inahali ya hewa na mazingira mazuri sana kuliko mwanza
2. kwa ukubwa na population Mwanza ni kubwa sana na ina population kubwa kuliko Arusha
3. kwa idadi ya majengo (katikati ya mji na pembezoni) Mwanza ina majengo mengi kuliko Arusha
4. kwa uzuri wa hayo majengo(katikati ya mji na pembezoni) arusha inayo machache lakini mazuri kiasi kuliko mwanza
5. uchangamfu wa mji, miji yote imechangamka kwa namna yake, ila mwanza watu walio mijini wamechangamka kweli kweli wapembezoni bado sana while arusha watu wake walio mjini na kijijini wamechangamka kidogo
6. Upatikanaji wa vitu (vyakula na mahitaji) na gharama, mwanza vitu vinapatikana na ni bei chini kuliko Arusha
7. ukuaji wa mji, mwanza inakua yaani inatanuka na nipana zaidi kuliko Arusha ndio maana ninavyo zungumza hapa miezi miwili ijayo hice mwanza hazitopaswa kuwepo na zitaruhusiwa costa tu.
8. misingi ya kiuchumi, mwanza inamkono mdogo sana wa serikali uchumi wake ni biashara za wau binafsi kutokana na locaation ya mji wenyewe na majengo mengi katikati ya mji ni ya watu binafsi, arusha serikali ipo sana pale na majengo mengi ni ya serikali na ni utalii na madini vitu vinavyosimamiwa na serikali
9. ukubwa wa barabara, mwanza inabaraba nyingi kubwa na msongamano wa magari mengi unao changiwa na population yake tofauti na arusha
10. kwa hoteli nzuri arusha inzo hoteli nzuri sana kushinda mwanza.

kwa ujumla Mwanza ni pana, population kubwa sana barabara na magari mengi na majengo mengi compare to Arusha. while arusha ina good climatic condition, majengo machache lakini mazuri kuliko mwanza, good hotels na unique!!!!

chini ni sehemu ya furahisha, kirumba mwanza ukitokea airport kuelekea city centre, inaweza kukupa picha kidogo ya mji wenyewe.

14264062_992467147528969_2764993776370751408_n_zpsndcxq6ke.jpg
 
Hehehe haya mkuu
Ila umepanic tu
Mie Mwanza ndio Nyumbani kwasasa
Kigoma ni Nyumbani kwa Asili

Baba na mama yangu walihamia Mwanza mie na miaka 7

Kwa msuka ndio home
Hivyo naijua Mwanza sana
Nimesomea Pamba

Kasi iliokuwapo 2002-2010. Haipo sasa
Mwanza imedoda
Aha, classmate wa bashite..! Hebu tuambie ilikuwaje akapata zero, na wewe ulipata zero ukafoji vyeti??
Au wewe ndiye bashite mwenyewe...??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom