kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,116
Obona ngosha......mie akili iko muda wote, kwa id yako tu nina uhakika 'ule wa kukaya gete' lakin tatizo lako 'uli na masala mado, bongo bugehu gete' tafauti kabisa sie wenzako.
Obona ngosha......mie akili iko muda wote, kwa id yako tu nina uhakika 'ule wa kukaya gete' lakin tatizo lako 'uli na masala mado, bongo bugehu gete' tafauti kabisa sie wenzako.
Ila wewe mtu ki ng'ang'aniziMkuu sijui kama una uelewa wowote kwenye masuala ya ukusanyaji mapato..
Local Government vyanzo vyake vya mapato ni tofauti tofauti na ni vigumu kucompare vyanzo vya local government then useme sehemu fulani hali ya uchumi/biashara iko juu..
Nikupe mfano mdogo tu, population ya Mwanza ni kubwa kuliko Arusha na malipo mfano ya leseni za biashara ni fixed kwa kila manispaa/jiji. Kwahiyo Arusha yaweza kuwa na biashara 3 zinazolipa 150,000/- kwa Jiji jumla ya kiasi cha 450,000/- na Mwanza ikawa na biashara 10 zinazolipa 150,000/- kwa Jiji jumla ya 1,500,000/- lakini biashara hizo 3 za Arusha zikalipa kodi TRA kiasi cha Billion 1 wakati biashara 10 za Mwanza zikalipa Million 500. Hiyo ndiyo tofauti iliyopo..
Mwanza kwa population yake kuwa kubwa sishangai kama inaizidi Arusha kwenye makusanyo ya Local Government..
Ebu nieletee basi wewe data sio maneno maneno...
Mwanza imekusanya kiasi gani na Arusha wamekusanya kiasi gani?
Yaani huu ujinga mnaoshabikia na sawa na timu kujitangazia ushindi wakati ndio kwanza wako dakika za 60.. Tena ushindi wenyewe ni kamisaa anayeipenda timu mojawapo kuamuru refa apulize filimbi na atangaze mshindi..
Ebu nieletee basi wewe data sio maneno maneno...
Mwanza imekusanya kiasi gani na Arusha wamekusanya kiasi gani?
Yaani huu ujinga mnaoshabikia na sawa na timu kujitangazia ushindi wakati ndio kwanza wako dakika za 60.. Tena ushindi wenyewe ni kamisaa anayeipenda timu mojawapo kuamuru refa apulize filimbi na atangaze mshindi..
Please be careful and take careNipo na watu wa arusha apa wamekuja kufanya biashara mwanza , kila nae piga nae story naskia "isee mwanza ni jiji Arusha amna kitu chalii angu kwann sjui skuja mapema ,kule ni wizi tu chalii angu mji wenyewe mdogo kinyama yan we acha tu "
Satellite cities consume homes for each class and economy kuanzia higher to lower income wanapata satisfaction.![]()
![]()
Naona safari city imebuma....NHC wametilia shaka uwezo wa watu wa Arusha kuparchase nyumba, sasa ni mwendo wa nyumba za bei nafuu Otorong'ong'o uko wapi
Magu aikumbuke Mwanza yetu
inatia Aibu kwenye majengo Marefu hatuna
kwanini!!!
You have already said local local localSijaziona hizo takwimu za TRA ila kwa upande wa Local Government, Takwimu siku zote Mwanza ipo juu...
Satellite cities consume homes for each class and economy kuanzia higher to lower income wanapata satisfaction.
ngosha watajulia wapi haya mambo.Satellite cities consume homes for each class and economy kuanzia higher to lower income wanapata satisfaction.
Aibuuu Aibuuu uwiiView attachment 496896
Chanzo: Ripoti ya TRA 2016/17 kwa robo mbili za mwanzo.
The wonders of Mtwara ni kwamba mwezi Novemba na Desemba 2016 idara ya forodha imekusanya sana, nadhani ni kupitia bandari maana Dangote alishusha magari 600 mwezi Desemba, na kabla ya hapo alipitisha pia makaa ya mawe. Upelekaji wa korosho ghafi nje ya nchi umechangia kwa kuwa shughuli huwa inaanza Oktoba. Kama utakumbuka kuwa Waziri Mkuu aliamrisha korosho kusafirishwa kwa bandari ya Mtwara pekee. Kwa miezi miwili tu wamekusanya milioni 68,208.69. Pia kuna idara ya Walipakodi Wakubwa (LTD) imekusanya milioni 2,756,417. Wengi wao wapo DSM, kwa hiyo ukipenda hiyo figure ijumlishe kwa DSM.
NB: Ni muhimu kuangalia na mapato mengine zaidi ya kodi.
Makarabrasha yangu yananionesha mtwara wameshawapiga nyama chini mpo hoi kimapato please let pray harderOkey jipe matumaini mtu wa Mungu
ngosha watajulia wapi haya mambo.
Makarabrasha yangu yananionesha mtwara wameshawapiga nyama chini mpo hoi kimapato please let pray harder
Happy Easter.......Napitia comment naona mmeanza kuharishaTatizo unashabikia Arsenal
arsenal chama kubwa lile,ngoja tumalize mgomo wa kumforce yule mzee aondoke then turudi kwenye tabia yetu ya ushindiTatizo unashabikia Arsenal
Dah mkuu hali ya mwanza kimapato ni ngumu sana Arusha tumewapita mara 3 alafu bado wanajilinganisha na sisingosha watajulia wapi haya mambo.
me nilishawaambia washindane na arusha kwa issue ya population tu mambo mengine waache maana wanajitia aibu tu.Dah mkuu hali ya mwanza kimapato ni ngumu sana Arusha tumewapita mara 3 alafu bado wanajilinganisha na sisi