Inawezekana kwa sasa wanapiga picha lakini tayari ni kichocheo kikubwa cha biashara/uchumiMwanza! unazungumzia lile jengo watu wanaenda kupiga picha..?
Inawezekana kwa sasa wanapiga picha lakini tayari ni kichocheo kikubwa cha biashara/uchumiMwanza! unazungumzia lile jengo watu wanaenda kupiga picha..?
Kichocheo gani..? PSPF wameingia hasara kubwa kupeleka mradi mkubwa wa Mall Mwanza...Mwanza hamna Shoppers...Watu hawajui maana ya kufanya Shopping.....Inawezekana kwa sasa wanapiga picha lakini tayari ni kichocheo kikubwa cha biashara/uchumi
Mosi, siwezi kufananisha Nakumat ya Arusha/TFA na Mall ya Mwanza kwa kuwa zina hadhi tofauti. Moja ni mall na kubwa nyingine ni supermarket na ndogo.Kichocheo gani..? PSPF wameingia hasara kubwa kupeleka mradi mkubwa wa Mall Mwanza...Mwanza hamna Shoppers...Watu hawajui maana ya kufanya Shopping.....
Nimetoka juzi hapo nikakuta jengo zima ni wapangaji wa tatu tu...Ilikuwa jimamosi lakini hakuna watu ndani ya mall...Kumebaki pakiwa na sehemu ambayo watu wanaenda kupiga picha tuu...
Hivi unaweza fananisha Nakumatt ya Arusha na upuuzi wa hiyo Mall.
?
Mwanza ilinganishwe na Tanga na Mbeya...Acheni kufananisha mwanza na Arusha manispaa
Fananisha mwanza na dar
Sio Arusha mnadharirisha mwanza
Sasa Arusha kuna nini ndugu twende tu na ukweli kama sio stendu tu paleMwanza ilinganishwe na Tanga na Mbeya...
Mnadharirisha = Mnadhalilisha..
Kina ngosha bana..
Hii thread umeidandia kwa mbele...Kaangalie mangosha wenzako tulivyowakimbiza..Sasa Arusha kuna nini ndugu twende tu na ukweli kama sio stendu tu pale
Kwani arusha kuna nini, tatizo mnatumia nguvu nyingi sana kuinadi arusha mpaka mnajamba ila ukweli unabaki pale pale kuwa mwanza is ahead of arusha.Hii thread umeidandia kwa mbele...Kaangalie mangosha wenzako tulivyowakimbiza..
Anza page ya kwanza uone Arusha kuna nini..
We nawe..??Mwanza ilinganishwe na Tanga na Mbeya...
Mnadharirisha = Mnadhalilisha..
Kina ngosha bana..
Bora wewe umesema jiji kubwa ila hizo pumba zingine haziendani na theories of economy.Usitoe hongera leo mkuu. Arusha kuna malls 3 zinafanya kazi. TFA Mall ndo kubwa na ya zamani sn tangu 2002. Kisha kuna Njiro Mall tangu 2007 na kuna Sable Square Mall tangu 2013.
Hiyo uloona video ni ya 4 na ni kubwa usawa wa TFA Mall au pungufu kidogo.
Mwanza ndo kwanza mwaka jana wamepata moja na inasuasua. Labda its too big for them na maushambaushamba yao. Jiji kubwa ila washamba hadi aibu
Mi cjui juu ya hayo karibuni dar wote mnaobishana mje mbishanie uku[/QUOT]
Hatuna neno na dar.
Hii ligi tulishamaliza kitambo sana kiongoz...nadhan mmeshaelew kwann arusha inaitwa geniva of Africa...!Mchome naona umeweka picha za arusha ngoja nikuoneshe jiji linavyopaswa kuwa.