Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Hujanijibu bado kwamba which is the simplest route kuunganisha majiji ya afrika mashariki kutoka kampala nairobi mpaka dar es salaam?. badala yake umekuja na kilometres wakati mimi sihitaji kilomita nahitaji real facts.

tunaposema centre au kiungo unaelewa mkuu? yani ni kua kati kati na kuweza kulink a b na c. sasa kutoka tu dar kuja mwanza kwa usafiri wa barabara ni zaidi ya kutoka dar kuja nairobi kupitia arusha. so automatically mwanza haiwezi kulink dar na nairobi and kampala.

Kwa mfano basi linalotoka dar asubuhi kwenda nairobi then kampala ni route ipi litapita ili liwahi kufika nairobi then kampala?
ROUTE YA ARUSHA AU ROUTE YA MWANZA? JIBU MIHEMKO HIYO

Dar arusha nairobi kampala ni ndefu kuliko dar mwanza kampala

Route ya mwanza inapunguza usumbufu wa mipakani maana utahtaji border moja moja tu kuliko kupita namanga na malaba
 
Watu bwana mnabishana kuhusu GDP. Hivi umewahi fikiri wewe binafsi una contribute kiasi gani kwenye GDP? Au contributions zinatoka kwenye mizimu.
By the way kuna mikoa ambayo serikali inatia sana mkono wake. Lakini swali bado linabaki. Wewe unachangia kiasi gani? Usifurahie tu kuona wenzako wanajenga maghorofa. Jiulize ushiriki wako.
 
Hongera Arusha kwa Shopping Mall
Usitoe hongera leo mkuu. Arusha kuna malls 3 zinafanya kazi. TFA Mall ndo kubwa na ya zamani sn tangu 2002. Kisha kuna Njiro Mall tangu 2007 na kuna Sable Square Mall tangu 2013.

Hiyo uloona video ni ya 4 na ni kubwa usawa wa TFA Mall au pungufu kidogo.

Mwanza ndo kwanza mwaka jana wamepata moja na inasuasua. Labda its too big for them na maushambaushamba yao. Jiji kubwa ila washamba hadi aibu
 
Picha zinaonyesha jinsi mall itakavokua....na sijaziweka ili kuleta comparison na mall ya mwanza nimeweka kuonyesha kuwa arusha kuna mall ya kisasa ambayo ipo kwenye ujenzi
Na ziko existing 3. Mwanza ndo wanaanza kuhesabu. Arusha in planning ziko zingine 3.

Mwanza washamba sana. Jiji lao kubwa ila ni kubwa jinga. Halina fleva wala vibrancy. Likoliko tuuu.........
 
Usitoe hongera leo mkuu. Arusha kuna malls 3 zinafanya kazi. TFA Mall ndo kubwa na ya zamani sn tangu 2002. Kisha kuna Njiro Mall tangu 2007 na kuna Sable Square Mall tangu 2013.

Hiyo uloona video ni ya 4 na ni kubwa usawa wa TFA Mall au pungufu kidogo.

Mwanza ndo kwanza mwaka jana wamepata moja na inasuasua. Labda its too big for them na maushambaushamba yao. Jiji kubwa ila washamba hadi aibu
Yap naelewa hayo.. Kwa Mwanza lile jengo labda waruhusu kupangisha wamachanga na wauza nyanya..
 
Arusha kwa mall ni sufuri, hizo tatu mnazozungumzia ni kama super market tu! Hata moja inayojengwa mbele kidogo ya uwanja mdogo wa ndege ukielekea kisongo bado ni ndogo sana.
Mall ni kama ile mlimani city ama hiyo ya Mwanza iliyofunguliwa majuzi
 
Mwanza! unazungumzia lile jengo watu wanaenda kupiga picha..?
 
Back
Top Bottom