Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Ni proposed project, likijengwa litakuwa ni daraja refu kupita yote EA...Hakuna ni story tu
Ni proposed project, likijengwa litakuwa ni daraja refu kupita yote EA...Hakuna ni story tu
Hebu weka mpango huo kwa maandishi...Hahaha
unajua kuwa kunampango
kujenga lakutoka dar to Zanzibar
sijui lipi kubwa
Hebu weka mpango huo kwa maandishi...
Hebu weka mpango huo kwa maandishi...
Umeona hii, tayari upembuzi yakinifu umefanyika vipi hilo jingine...?!
Under the public procurement Act No. 7 of 2011, hii habari ni ya mwaka huu hiyo uliyoona 2011 ni vifungu tu vya sheria ya ugavi ya mwaka 2011...Story toka 2011
du!
hahahahaha.....naonyesha mandhari ya mji kwa wale ambao hawapafaham ili wasiendelee kupotoshwa na maneno ya vijiweni...!Hutaki kushindwa eti
Maybe kwa population....!Mbona wanafahamu mwanza
Ndio jiji la pili Tanzania
Mimi ni member huru...Napita kote ninakotaka....Anyway huu uzi toka unaanza mi nipo nao nilikuwa mtizamaji tuu...umeamua kupita jukwaani ili uonekane...ok karibu
kwa hiyo hoja yako ni kwamba imedorora kwa kuongozwa na CDM???,,,,,,,,meaning maeneo yote yaliyokuwa chini ya chama cha mwendokasi yapo vizur kuliko Mwanza???,,,,,ukuu wa wilaya unawatesa xana
Naona umekuja na mihemko sana...kwa hizi data ipi inatakiwa iwe center ukiacha utalii ambao umeulilia sana
Mwnza to Kampala 722.7km, Nairobi678.3km, Kigali 538.4km, Bujumbura 624.8km, Dsm 1130.4km, Juba 1353km,
Arsha to Kampala 935.9km, Nairobi 271.4km, Kigali 1048.4km, Bujumbura 1134.9km, juba 1403 km, Dsm 624km
na hata project kubwa arusha zinafanyika kwa figisu cause mlijichukulia sifa isiyo yenu na ndo mana mlipokonya na baadhi ya miradi ya wenzenu kama mandela university mka redirect kutoka mbeya....cha ajabu hamna chchte kikubwa mlichofanya mbali na opportunity hzo
Umeona hii, tayari upembuzi yakinifu umefanyika vipi hilo jingine...?!
![]()