Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mkuu hizi ni kama hesabu za wastani tu... Na takwimu za kiuchumi ndio vilivyo kila mahali..

Usishangae ya Dar kuwa 4% tu ndio maskini, shangaa Tanzania maskini ni 28% tu... Je hiyo ni kweli??

Data za kiuchumi zinachukuliwa collectively na sio personally...
Okay sawa mkuu...
 
Hiyo mikoa kwanza siifahamu lakini pili hakujawahi kukusanywa takwimu yeyote ya kitaalamu huko..
Basi tuseme hata Tabora ipo juu, kuna mikoa mingine yaani ni bora ukaishi hiyo mikoa waliosema kuna maskini wengi...
 
Kwasababu wewe unaweza kutransform challenges za hayo maeneeo into opportunities basi kwako itakuwa heri kuishi Kigoma kuliko Dar ama Arusha... Ila yule ambaye hana huo uwezo ndio anasafiri kwenda kutafuta maisha Dar ambako anaamini kuna pesa. Ukiona mtu maskini kabisa asiye na chochote anatoka Dar kwenda kutafuta maisha Dodoma au Kigoma muogope sana.. Ila tajiri au mtu mwenye mawazo fulani anaweza akaenda Kigomo kubalidilisha challenges zilizopo au kuzitumia hizo challenges kutengeneza fursa..
 
Eti ndo mji kiungo...inashangaza sana...kat ya mwanza na arusha mji upi ulio karibu na nchi tano za africa mshariki? natumaini jibu unalo...hzo mbuga ulizotaja mbuga ya maana ni serengeti...sasa nambie mji ulio karbu na mbuga ya serengeti? natumaini jibu unalo....Arusha mmependelewa tu na serikali isingekuwa hivyo hata Mbeya ingewapiga fimbo...cha kushangaza huge project kama AICC, EAC, SAFARI CITY, Aghakan head quaters(itajengwa soon), mandela university. tourism promo nk...zoote zimelekezwa arusha tangu enzi za nyerere lakini hamjaiacha mwanza step yoyote ya maana...na mpigeni vita sana maghufuli asipeleke miradi mwanza akipeleka tu mtaumia vibaya mno...mana hata issue ya uwanja wa ndege mwanza mliizima kiaina

acha ubishi ndugu kwa vitu ambavyo viko wazi, sasa kama unabisha kwamba arusha sio kiungo cha majiji ya afrika mashariki tuanze na hili:
nikuulize unipe route ya mabasi yanayosafiri kupitia miji hii yani kutoka kampala, nairobi na dar es salaam hua yanapita njia ipi? je ni kampala nairobi mwanza dar es salaam au kampala nairobi arusha dar es salaam? JE UKITOKA DAR KWENDA KAMPALA AU NAIROBI KUPITIA MWANZA UNACHUKUA MUDA GANI TOFAUTI NA KUPITIA ARUSHA?

pili kuhusu mbuga ya serengeti ni kwamba ipo karibu na mwanza na arusha kote kote...ila kwa utalii arusha imeizidi mwanza tena sana tu unataka kubisha na hapo? Kampuni nyingi zenye camp mbalimbali huko serengeti zina ofisi zao arusha na sio mwanza sasa kwa nini wasiweke huko mwanza?

Usiseme mbuga ya maana ni serengeti tu nahisi wewe utakua ni mkenya labda una wivu na watz kama umemaanisha ngorongoro crater sio hifadhi ya maana ( unaijua crater ya ngorongoro mkuu au unaionaga tu kwenye picha?) pia lake manyara National park na ziwa lake sidhani kama unaijua vizuri mpaka useme hio sio hifadhi ya maana, pia mlima kilimanjaro uliopo Moshi Ipo jirani na arusha kwa hiyo ni rahisi kufika ukitokea arusha, SO ARUSHA NI CENTRE MKUU HAMNA UPENDELEO BALI VITU VINAKUJA NATURALLY. ARUSHA UKIJA SASA HIVI KUTOKA KIA KUJA TOWN ROAD INAPANULIWA GARI NNE NNE MKUU. JIULIZE WHY SIO MWANZA?

MKUU NENDA PALE BURKA OPOSITE NA OFISI ZA TANAPA MKUU SAMAKI SAMAKI COMING SOON. DAH HUKU GARI NNE NNE HUKU SAMAKI SAMAKI RAHA SANA
 
Kwasababu wewe unaweza kutransform challenges za hayo maeneeo into opportunities basi kwako itakuwa heri kuishi Kigoma kuliko Dar ama Arusha... Ila yule ambaye hana huo uwezo ndio anasafiri kwenda kutafuta maisha Dar ambako anaamini kuna pesa. Ukiona mtu maskini kabisa asiye na chochote anatoka Dar kwenda kutafuta maisha Dodoma au Kigoma muogope sana.. Ila tajiri au mtu mwenye mawazo fulani anaweza akaenda Kigomo kubalidilisha challenges zilizopo au kuzitumia hizo challenges kutengeneza fursa..

Mkuu naamini conversation yako na mkuu wa chuo ilienda vizuri…ni kweli Kilimanjaro, Dsm, na Arusha watu wake wana maisha mazuri kulinganisha na mikoa mingine…na hiyo ni kwa sababu kadhaa kwa kilimanjaro na arusha watu wake ni watafutaji na kitendo cha elimu kuanzia kule kiliwafanya wapate nguvu serikalini na kupata nafasi nyeti na hivyo kupeleka social services na opportunity kule… watu wa Kilimanjaro wanatumia resources za kwao kuendeleza hko, pia kwenye mashirika mengi ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali yaliyopo mikoani wachaga wamejaa na hvyo wanavuna hko na kuwekeza kwao (klm & arsha) ukumbuke kuwa ili uweze kuendelea lazima umnyonye mwenzako…na ndio mana wenzetu wazungu hawana resources kivile na wanajaribu kutuibia by any means ili kumaintain status yao na wanaweza kwa sababu wapo more step economically, technologically na kielimu…!!! Watu wa arusha walipata elimu mapema hivyo kushikilia mpini wa uchumi mapema there's so many domestic investers frm arsha all arnd the country…na wanavuna na kuendeleza kwao…na mipango yao tangu mwanzo ni kuifanya arusha iwe mji mkuu tz…ila nyerere akaweka ngumu, na mpaka sasa watu wa arusha wana ubaguzi sana maofsini yaani mwekezaji wa arusha yupo radhi amweke mtu wa kaskazini aliyeishia form 4 kuliko mnyakyusa mwenye degree for the job that need a degree holder applicant…watu wa mwza ni wachapa kazi sana ila wanakosa support kutoka serikalini, na kuchelewa kwao kupata elimu kunawafanya waamke slow kdogo…wanategemea ardhi na ufugaji ila hali ya hewa imebadilika hvyo wanahtaj kutransform technologically and strategically, wataweza vip wakati hawana mtaji na elimu ya kutosha, pia wenye mali wanapeleka kwao kuwekeza..chukulia mfano wakulima wa arusha wanatumia sana technolojia ili kuendana na hali ya mazingira na hyo ni kwa sababu wana mitaji waliyovuna mikoani na elimu waliyoipat mda sasa….!!! Hata hvyo now days mwnza wameamka kielimu na kiuwekezaji japo sio kwa rate unayotaka waende nayo….endapo maghufuli ataelekeza nguvu kule tutakua tunaongea mambo mengne……!!!!
 
acha ubishi ndugu kwa vitu ambavyo viko wazi, sasa kama unabisha kwamba arusha sio kiungo cha majiji ya afrika mashariki tuanze na hili:
nikuulize unipe route ya mabasi yanayosafiri kupitia miji hii yani kutoka kampala, nairobi na dar es salaam hua yanapita njia ipi? je ni kampala nairobi mwanza dar es salaam au kampala nairobi arusha dar es salaam? JE UKITOKA DAR KWENDA KAMPALA AU NAIROBI KUPITIA MWANZA UNACHUKUA MUDA GANI TOFAUTI NA KUPITIA ARUSHA?

pili kuhusu mbuga ya serengeti ni kwamba ipo karibu na mwanza na arusha kote kote...ila kwa utalii arusha imeizidi mwanza tena sana tu unataka kubisha na hapo? Kampuni nyingi zenye camp mbalimbali huko serengeti zina ofisi zao arusha na sio mwanza sasa kwa nini wasiweke huko mwanza?

Usiseme mbuga ya maana ni serengeti tu nahisi wewe utakua ni mkenya labda una wivu na watz kama umemaanisha ngorongoro crater sio hifadhi ya maana ( unaijua crater ya ngorongoro mkuu au unaionaga tu kwenye picha?) pia lake manyara National park na ziwa lake sidhani kama unaijua vizuri mpaka useme hio sio hifadhi ya maana, pia mlima kilimanjaro uliopo Moshi Ipo jirani na arusha kwa hiyo ni rahisi kufika ukitokea arusha, SO ARUSHA NI CENTRE MKUU HAMNA UPENDELEO BALI VITU VINAKUJA NATURALLY. ARUSHA UKIJA SASA HIVI KUTOKA KIA KUJA TOWN ROAD INAPANULIWA GARI NNE NNE MKUU. JIULIZE WHY SIO MWANZA?

MKUU NENDA PALE BURKA OPOSITE NA OFISI ZA TANAPA MKUU SAMAKI SAMAKI COMING SOON. DAH HUKU GARI NNE NNE HUKU SAMAKI SAMAKI RAHA SANA

Naona umekuja na mihemko sana...kwa hizi data ipi inatakiwa iwe center ukiacha utalii ambao umeulilia sana

Mwnza to Kampala 722.7km, Nairobi678.3km, Kigali 538.4km, Bujumbura 624.8km, Dsm 1130.4km, Juba 1353km,

Arsha to Kampala 935.9km, Nairobi 271.4km, Kigali 1048.4km, Bujumbura 1134.9km, juba 1403 km, Dsm 624km

na hata project kubwa arusha zinafanyika kwa figisu cause mlijichukulia sifa isiyo yenu na ndo mana mlipokonya na baadhi ya miradi ya wenzenu kama mandela university mka redirect kutoka mbeya....cha ajabu hamna chchte kikubwa mlichofanya mbali na opportunity hzo
 
Lakilaki project kisongo arushaView attachment 356825

Njoo taratibu kwenye huu mchezo....usiniletee dead proposed project hapa...real project ya lakilaki arusha ni hii hapa down na kama unabisha tembelea hapa UNMICT - Construction of the Arusha facility

13-progress-160229.jpg
 
Wana JF

Sina lengo laku pambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.

Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo.Mwanza ilikuwa motoMambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana

Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorola kama mtoto mwenye utapia mlo kulikoni.

Tatizo nini Mwanza?Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini Haipai kwa kasi ilee!?

Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwasasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.
mkuu hebu fafanua weka data ulizo ziona mwanza na huo ukuaji wa uchumi Arusha ni zipi vinginevyo uzi wako utakuwa hauna mantiki yeyote kuuweka hapa .no research ,no data no right to submit
 
Kweli manake mara sijui dodoma versus moshi sasa arusha versus mwanza sasa tulioko huku jorodom tutashindanishwa na nani?tunajisikia unyonge sana!Aaaagh!
Usijali siku moja Jorodom italinganishwa na sehemu nyingine
 
Mkuu naamini conversation yako na mkuu wa chuo ilienda vizuri…ni kweli Kilimanjaro, Dsm, na Arusha watu wake wana maisha mazuri kulinganisha na mikoa mingine…na hiyo ni kwa sababu kadhaa kwa kilimanjaro na arusha watu wake ni watafutaji na kitendo cha elimu kuanzia kule kiliwafanya wapate nguvu serikalini na kupata nafasi nyeti na hivyo kupeleka social services na opportunity kule… watu wa Kilimanjaro wanatumia resources za kwao kuendeleza hko, pia kwenye mashirika mengi ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali yaliyopo mikoani wachaga wamejaa na hvyo wanavuna hko na kuwekeza kwao (klm & arsha) ukumbuke kuwa ili uweze kuendelea lazima umnyonye mwenzako…na ndio mana wenzetu wazungu hawana resources kivile na wanajaribu kutuibia by any means ili kumaintain status yao na wanaweza kwa sababu wapo more step economically, technologically na kielimu…!!! Watu wa arusha walipata elimu mapema hivyo kushikilia mpini wa uchumi mapema there's so many domestic investers frm arsha all arnd the country…na wanavuna na kuendeleza kwao…na mipango yao tangu mwanzo ni kuifanya arusha iwe mji mkuu tz…ila nyerere akaweka ngumu, na mpaka sasa watu wa arusha wana ubaguzi sana maofsini yaani mwekezaji wa arusha yupo radhi amweke mtu wa kaskazini aliyeishia form 4 kuliko mnyakyusa mwenye degree for the job that need a degree holder applicant…watu wa mwza ni wachapa kazi sana ila wanakosa support kutoka serikalini, na kuchelewa kwao kupata elimu kunawafanya waamke slow kdogo…wanategemea ardhi na ufugaji ila hali ya hewa imebadilika hvyo wanahtaj kutransform technologically and strategically, wataweza vip wakati hawana mtaji na elimu ya kutosha, pia wenye mali wanapeleka kwao kuwekeza..chukulia mfano wakulima wa arusha wanatumia sana technolojia ili kuendana na hali ya mazingira na hyo ni kwa sababu wana mitaji waliyovuna mikoani na elimu waliyoipat mda sasa….!!! Hata hvyo now days mwnza wameamka kielimu na kiuwekezaji japo sio kwa rate unayotaka waende nayo….endapo maghufuli ataelekeza nguvu kule tutakua tunaongea mambo mengne……!!!!

Well spoken.. At least nyote leo mmekubaliana na mimi. Ila still ninaamini Mwanza kuna fursa nyingi za kupiga hatua kubwa, human capital ikiwemo.. u guys u need to step up, sina kinyongo but wishing u all the best
 
Kuna project nyingi arusha za kunitishia ila sio hii... four lanes mwanza zinajengwa, na kuna daraja amazing la kupita ziwani hata la kigamboni halitaona ndani...kama huzijui project kali za arusha bora uombe msaada kwa wanaokuzidi ujanja

tusaidie ka picha ka daraja la ziwani mwanza
 
Serikali imeamua kuidharilisha Mwanza kiukweli du!
 
Back
Top Bottom