Towashi wa 2
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 341
- 241
Techocrats wa Mwanza wajitahidi kuwa wabunifu,kuna eneo kuanzia usagara to kigongo/Busisi bado halijavamiwa na squatters wangelipanga vizuri kuwa mji wa kisasa wa watu wa tabaka la kati na juu,wajenge mahotels,taasisi za elimu etc ingependeza,pia kuanzia ukiriguru hadi usagara round about na along usagara-kisesa bypass.Wakiyapangilia hayo maeneo mapema mji wao utapendeza na kuwa wa kisasa,kushindana na mji wa pili kuwa na viwanda vingi Tzn in terms of kipato sio rahisi