Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Rekebisha lugha kwanza hapo kwenye bold af twende....af kumbuka hakuna anayekuchekesha hapa..icje kuwa unajitekenya mwenyewe

Af af icje... This tells me who you really are...

Back at it.. UN na NBS nao wanatumika kisiasa since 2012??
 
Alaf fikiria kabla ya kupost sio unakrupuka tu kama kinyampo....hao uliowataja hawajasema mwanza ni maskini zaidi ya lindi, mtwara, dodoma, singida, manyara, katavi nk

Punguza matusi kijana hayatakusaidia chochote hahahahahahhaa..

UN na NBS wanasema Mtwara na Lindi zina maisha mazuri kulinganisha na Mwanza.. Kuanzia kwenye human settlements, infrastructures, social services and par capita income hiyo mikoa yote imeizidi Mwanza.. Katavi na Simiyu hawakuifanyia research hiyo mikoa sababu ni mikoa mipya.. Alafu huko Manyara ndio usiguse kabisa maana hamwafikii kwa chochote..
 
Tusiende gizani....weka hzo data hapa mezani isije ikawa umecreate news to meet ur own interest
 
Sasa plz nikianza kukuwekea usianze kubisha au kuleta hadithi nyingi.. Naomba unipe nusu saa mpaka saa moja kamili nitakuwa home.. Nitakushushia kidogo kidogo kijana wangu uelewe..

Plz nitataka mjadala huru sio matusi kama hayo uliyoanzisha..
 
Ok siwezi weka kigingi kwenye ukweli
 
Ok siwezi weka kigingi kwenye ukweli
Sasa tuanze kidogo kidogo... Nadhani link unaiona ile pale juu.. Hii ni UNDP, wanasema mikoa yenye hali nzuri ya makazi na uchumi kwa Tanzania ni Arusha, Kilimanjaro na Dar
hdi.png

Wanaendelea kusema....
hdi3.png

Hata hivyo kuna mikoa ambayo pia inaridhisha.. Angalia hapa..
hdi4.png

Kote huko Mwanza imetupwa mkuu...
 
Ok siwezi weka kigingi kwenye ukweli
Mtwara na Lindi mliwaacha mbali sana kwenye GDP miaka ya 2007.. Ila kwa trend inayoenda wako karibuni kuwapita.. Hii ni National Bureau of Statistics (NBS)...
gdp33.png

Lakini UN wao kwa mwaka 2012 waliofanyia research zao inaonyesha Mtwara na Lindi GDP zao ziko juu kuliko ya Mwanza.. Ona hapo..
hdi2.png
 
Tusiende gizani....weka hzo data hapa mezani isije ikawa umecreate news to meet ur own interest
Huyo unayebishana naye hajui GDP ni kitu gani... hapa chini nakuwekea report ya NBS, kipande chake eti anasema Mwanza imezidiwa na Manyara kwa kila kitu ndio maana namuangalia tu...
bcfce9c4c494d1409d86186a5c2848da.jpg
 
Nadhani mjadala na wewe tulishamaliza.. Mwache huyu niliyenae sasa abishe kwa upeo wake sio kwa wewe kumtetea.. Na kama unataka kumwelimisha kwa unavyojua wewe plz naomba usinitaje..

Lakini kwa kukusaidia tu, tofautisha GDP na GDP per capita... Tanzania tuna GDP kubwa kuliko Botswana lakini GDP per capita ya Botswana ni kubwa sana kuliko ya Tanzania. Wakati Tanzania tukiwa chini ya dola 1 wenzetu wako juu ya dolla 3.. Kama unabisha scroll hapo chini kichwa cha habari kimeandika Per Capita Gross Domestic Product tuwekee kilichooneshwa kwenye jedwali hapo
 
Wewe ndio unatakiwa utofautishe kati ya GDP na Per Capita GDP, katika hilo jedwali lako Arusha haipo katika tatu bora inazidiwa na Tanga pia, Kilimanjaro na mikoa mingine, je unataka kuniambia hiyo mikoa ni bora zaidi ya Arusha...?!
 
Hilo jedwali liko wapi?? Ebu tuwekee tuone basi sio unaongea vitu ambavyo hatuvioni..
 
Hii ligi imeanza tena.....Mwanza kamwe hamuwezi ikamata Arusha....
Ipo namna hii, idadi ya watu Mwanza ni kubwa ukichukua lile pato lote ukagawanya kwa idadi ya watu inaonekana kipato cha mtu mmoja mmoja ni maskini...

Lakini sio kwamba ipo chini unaposema kuikamata sijui ni kiaje...?! Ila kwa rank ya serikali ipo namba mbili baada ya Dar es salaam...
 
Hilo jedwali lako la per capita GDP hapo juu... uliloweka
Mkuu unasoma kwa kutumia nini?? NBS inasema Arusha ni ya 4 badala ya Dar, Kilimanjaro na Iringa na UN walisema ni ya 3 badala ya Dar na Iringa... Sasa hiyo Tanga kuizidi Arusha wewe umeitoa wapi???
 
Ipo namna hii, idadi ya watu Mwanza ni kubwa ukichukua lile pato lote ukagawanya kwa idadi ya watu inaonekana kipato cha mtu mmoja mmoja ni maskini...

Lakini sio kwamba ipo chini unaposema kuikamata sijui ni kiaje...?! Ila kwa rank ya serikali ipo namba mbili baada ya Dar es salaam...
Sasa inaposemwa Tanzania ni maskini au GDP per Capita ya Tanzania kuwa ni 1.7M unafikiri wote ni maskini na wote kipato chao ndio hicho 1.7M?? Kama excuse ni uwingi wa watu mbona Dar ina watu karibia Million 5 na bado GDP yao iko juu??
 
Mkuu unasoma kwa kutumia nini?? NBS inasema Arusha ni ya 4 badala ya Dar, Kilimanjaro na Iringa na UN walisema ni ya 3 badala ya Dar na Iringa... Sasa hiyo Tanga kuizidi Arusha wewe umeitoa wapi???
Angalia hizo figure za Tanga 2007, 2008, 2009, 2010

Halafu kitu kingine kwa vigezo vyako basi Arusha ni ya nne inazidiwa na hiyo mikoa mitatu hapo juu...
 
Sasa inaposemwa Tanzania ni maskini au GDP per Capita ya Tanzania kuwa ni 1.7M unafikiri wote ni maskini na wote kipato chao ndio hicho 1.7M?? Kama excuse ni uwingi wa watu mbona Dar ina watu karibia Million 5 na bado GDP yao iko juu??
Dar es salaam ina vyanzo vingi kuna bandari, kuna viwanda vingi pia kuna baadhi ya mambo yanafanyika Dar es salaam mapato yanaingia Dar, hata ule uwanja wa ndege unaingiza sana mapato...

Pia Dar es salaam kutokana na "centralization of power" mambo mengi yanafanyika huko, sasa kama asilimia kama 80 ya mapato yanatoka Dar maana nilisikia wakiongea hivyo, yaani uchukue mikoa kama ishirini ujumlishe haifikii Dar es salaam...

Sasa chukua pato lote la Dar es salaam ugawanye kwa watu kama milioni nne wa huko, bado itaonekana watu wana kipato kikubwa kulingana na vyanzo, lakini huko ndio slum zimejaa sana kila sehemu...
 
Back
Top Bottom