Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mie nang'ata kote kote,kuna mtu kanikumbusha jambo limeniuma.Watu wa kaskazini kunyakua chuo cha mandela wakati ilikua kijengwe mbeya kama haitoshi walikwamisha ujenzi wa songwe airport kwa miaka mingi sana hadi leo haijakamilika vizuri but yote haya ni vile wako wengi kwenye system.Back to the topic,ningependa mwanza iendelee kua juu zaidi ya arusha ili kukomesha ego ya watu wa kaskazini but mwanza should do extra efforts otherwise inaweza kua na watu wengi lakini less important economicaly coz maskini wengi kuliko wenye uwezo.mfano mdogo ni mbagala na segerea
 
Ebu fafanua apo kunyakua walinyakua vp hcho chuo?
 
Hii ni project ya African Union katika kumuenzi Nelson Mandela,iliamuliwa vijengwe vyuo kama hivyo 5 katika Africa na kigezo kikuu ni pamoja na ushiriki wa nchi katika kusaidia harakati za kudai uhuru kwa waafrica(Pan-Africanism Movement) so Tanzania ikawa moja ya nchi ambako chuo kimojawapo kijengwe na Mbeya pale Iwambi ndio eneo lilitengwa kijengwe lakini figisu za wachaga/waarusha wakahamishia project Usa River kwa sababu za kifigisu.Hata makao makuu ya SADC-Gaborone,Botswana ilikua yawe mbeya tanzania figisu zikahamisha so then songwe airport too.
 
Mkuu uwezo wako wa kuchambua haya masuala naukubali sana ila tatizo lako uko na negative attitude towards northern people....mm nafikiri serikali inasababu zake za kuamua kufanya hvo ambazo mm na wewe pengine hatuzifahamu...next year kuna ujenzi wa agakhan university unaanza arusha pia nafikiri kuna sababu wanazozijua wao.
 
Hii ni project ya African Union katika kumuenzi Nelson Mandela,iliamuliwa vijengwe vyuo kama hivyo 5 katika Africa na kigezo kikuu ni pamoja na ushiriki wa nchi katika kusaidia harakati za kudai uhuru kwa waafrica(Pan-Africanism Movement) so Tanzania ikawa moja ya nchi ambako chuo kimojawapo kijengwe na Mbeya pale Iwambi ndio eneo lilitengwa kijengwe lakini figisu za wachaga/waarusha wakahamishia project Usa River kwa sababu za kifigisu.Hata makao makuu ya SADC-Gaborone,Botswana ilikua yawe mbeya tanzania figisu zikahamisha so then songwe airport too.
Ilikuwaje na ni kina nana hao wataje ata majna waliofanya uo uhuni
 
NHC safari city arusha....ujenzi umeanza...!
1465888049310.jpg
1465888055364.jpg
1465888062169.jpg
1465888074659.jpg
1465888088540.jpg
1465888115982.jpg
1465888121551.jpg
1465888125723.jpg
 
Mbna tangu enz za mwalimu arusha inapewa promo sana...but mwanza ina move with in.....kila kilichopo arusha mwanza kipo (japo si kwa usawa) ila si kila kitu kilichopo mwanza na arusha kipo
 
Jamani wana jm naombeni mnisaidie munaujua dawa ya ugojwa huu mugu unavimba kwenye goti nishatumia dawa nyingi inapona bada ya mda inarudi PRS.naombeni msada wenu
95b4c68ec3b95f593764db3e79fac5b4.jpg
 
Naona jamiiforums inaanza kua kijiwe cha kahawa,,,,sasa hii mada ina manufaa gan
 
Mwanza ina manispaa mbili Ilemela na Nyamagana Arusha moja, sijui ukubwa wa mji mtoa mada anautofautishaje kwa upande wake, wataalum wa mipango miji walishaona imekuwa kubwa igawanywe mara mbili.
 
Sawa wakuu Mwanza kuna kila kitu lakini na umaskini pia upo, Arusha hakuna kila kitu ila kuna PESA, sasa Mwanza tafuteni pesa.
 
Kuwa na manispaa mbili halafu ndilo jiji pekee lililo kwenye takwimu za umaskini ni aibu, imeshindwa hata na Manispaa moja tu ya Singida?
 
Sawa wakuu Mwanza kuna kila kitu lakini na umaskini pia upo, Arusha hakuna kila kitu ila kuna PESA, sasa Mwanza tafuteni pesa.
Ni kweli kuna kila kitu mpaka umaskini pia upo Mwanza. Arusha hakuna kila kitu ila kuna hela ambayo Mwanza haipo.
 
Hahahaha. ..Ipo Mateves Kisongo. Wilaya ya Arusha
Ha haha haha itakuwa chini ya mamlaka ya mji mdogo Ngaramtoni chini ya wilaya ya Arusha kama Burka na huko Mringa...

Itasaidia kupata Manispaa, angalau jiji liundwe na manispaa zaidi ya moja angalau hata mbili kama Mwanza...
 
Back
Top Bottom