Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Sasa nyie Wanamwanza juzi wenzenu wa Dar walikimbia uzi wa Hotel za Dar na Arusha, sasa sijui nyie mnapata wapi guts za kushinda na Half London ya Tz...
 
90%Ya wamasai ni waruraji mikoani. Kiuhalisia arusha inajengwa na wachagga kwa asilimia kubwa. Mwanza huijui. Hahahahaha wala sitokwi na povu jiamini.

Masai kibao tuko nao hawa tunasongesha nao
 
Hivi mkuu @mchomejr unajua AICC wanaanza ujenzi wa Ukumbi mkubwa Africa Mashari na kati wa mikutano utakaoitwa The Kilimanjaro International Conference Centre....?? Utagharimu karibu billion 210 za Kitanzania maeneo ya Njiro..??

Huo unaitwa funga kazi...
 
Hawa ni watu wa kilimanjaro na wakiwa na makabila 8 k.v wamachame wasiha wakibosho wamarangu warombo wa old moshi kwa pamoja wakijiita wachaga ndo wanapenda sana haya mambo ya kutaka kujionyesha kuwa wao ni bora na zaidi kuliko watu wengine hapa Tz.

Wana ukabila na wapo tofauti kabisa na makabila mengine ya kitanzania .

Wao ni wa kenya asilia mana ndo tabia zao zinarandana nao.
Mana kenya ukabila ndo kwako na mtu mwiko kuitwa majina yote mawili ya kikristo.
Lazima moja la kikabila ni wanafahamiana kwa muonekano ni kamaa umuonavyo mchaga lazima umtambue.

Hawa jamaaa walikuwa Tanzania bahati mbaya pale Nyerere alipompa Kenyata bandari ya Mombasa na yeye akakubali Mt Kilimanjaro kuwa Tanzania ndo wachaga wakawa hapa kwetu.

Makabila yote Tz yana utu ila wachaga hawana utu kwako ni pesa mbele.

Kama hauna pesa afu upo mbali kwenu kilio kikitokea haupati taarifa.

Ukiwa mkubwa nyumbani hauna hela mdogo wako akija na ndo mwenye hela ww mkubwa utaambiwa ukamate kuku kaka yako achinjiwe
Asante kwa kutambua ilo i think ticha wako ndo alichokufundisha...
 
Mimetoka Mwanza jana...Hii ni aibu kwa Jiji la Mwanza..CDB imezungukwa na vilima vya mawe ambapo vinaonekana mtu ukiwa mjini.. Masikitiko ni kuwa watu wa maisha duni kabisa ndo wamejenga kule. Picha ya mji na mwonekano wake inakuwa ya hovyo kabisa..
 
(3).jpg
 
Hawa ni watu wa kilimanjaro na wakiwa na makabila 8 k.v wamachame wasiha wakibosho wamarangu warombo wa old moshi kwa pamoja wakijiita wachaga ndo wanapenda sana haya mambo ya kutaka kujionyesha kuwa wao ni bora na zaidi kuliko watu wengine hapa Tz.

Wana ukabila na wapo tofauti kabisa na makabila mengine ya kitanzania .

Wao ni wa kenya asilia mana ndo tabia zao zinarandana nao.
Mana kenya ukabila ndo kwako na mtu mwiko kuitwa majina yote mawili ya kikristo.
Lazima moja la kikabila ni wanafahamiana kwa muonekano ni kamaa umuonavyo mchaga lazima umtambue.

Hawa jamaaa walikuwa Tanzania bahati mbaya pale Nyerere alipompa Kenyata bandari ya Mombasa na yeye akakubali Mt Kilimanjaro kuwa Tanzania ndo wachaga wakawa hapa kwetu.

Makabila yote Tz yana utu ila wachaga hawana utu kwako ni pesa mbele.

Kama hauna pesa afu upo mbali kwenu kilio kikitokea haupati taarifa.

Ukiwa mkubwa nyumbani hauna hela mdogo wako akija na ndo mwenye hela ww mkubwa utaambiwa ukamate kuku kaka yako achinjiwe

Hahahahaha povuuu debe.. Maskini kunuka
 
Sasa nyie Wanamwanza juzi wenzenu wa Dar walikimbia uzi wa Hotel za Dar na Arusha, sasa sijui nyie mnapata wapi guts za kushinda na Half London ya Tz...

Watu wanaishi milimani kama kima alafu wanajifananisha na Arusha
 
Fact nyingine ni kwamba Kilimanjaro na Arusha inakusanya kodi kubwa kuliko mikoa yote ya kanda ya ziwa kwa pamoja...
 
Maskini wa kutupa yanaishi milimani pale Mwanza... Watu Million 3 70% ni useless maskini wa kutupa

Daaahhh bro umejishusha hadhi kwa stage uliyoifikia...

Unathubutu kuwatusi watanzania wenzio ili uitetee arusha ambayo ni sehemu ya Tanzania. Watanzania tuna maadili yetu na mtu akifikia kuwatukana mama na baba za wenziwe ,tayari anaukaribia uhayawani .......

Hivi unawish Arusha ingekuwa ni top ya tz !!!!!!!!!!.....
Na kama sio bhasi ongezeni juhudi ya kuijenga arusha yenu na Tanzania kwa ujumla.....
Arusha imekuwa jiji majuzi tu hivyo,bado ina tambo ndefu za kuifikia mwanza...

Kuitusi Tanzania yako ili uutukuze uarusha wako si vyema.... Wanaarusha nawajua ni wachakarikaji lakini hawana maneno kama haya...utani wa jadi tusiuchukulie serious

****** TANZANIA KWANZA*****
 
Mwanza 70% ni maskini wa kutupa hiyo ni fact na sio mimi nimesema niliweka link ya yalikosemwa hayo... Alafu ulivyo na akili za kimaskini bado Unaendelea kusema Arusha tujitahidi ili tuikute Mwanza... Kweli nyie maskini jeuri
 
Huyo kadandia treni kwa mbele[emoji2]
 
Back
Top Bottom