Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Fisadikuu hivi arusha kuna raha gani Isiyokuwepo mwanza. Hujatembea wewe unaishi kwa kuambia. Nipo florida hotel hapa Arusha kesho nang'oka, sijaona raha yoyote ila nyie people mnatuzidi ubishi tu si kitu kingine. Mahaba yenu na mji wenu yamezidi mno, muwe mnasikiliza na mawazo ya wenzenu.

Ukija mjini sema uoneshwe mji.. Sasa eti upo hapo Florida ndio unapiga kelele
 
Mtoa mada huna uelewa wa kutosha juu ya mada uliyoianzisha. MWANZA ni level nyingine. Kuilinganisha na Arusha ni uduni wa fikra na uelewa.
 
Unajua masikini akipata matako hulia....... ndo ninachokiona hapa, these people wanaona vighorofa vichache na ukumbi wa mikutano wa EAC vinawavimbisha vichwa wakati mji wao ni mdogo tu, congested still most areas are slums. Sanawari pale kwenda juu ni uswazi, ukipita m.meru hotel hakuna ishu tena hadi USA, leganga, sabato na maji ya chai. Na kuna mtu anaitamka usa utafikiri sisi hatupajui, tunawaangalia muonyeshe mapenzi yenu, wanadipromasia tunawachora tu.

Arusha haijawahi kuwa maskini.. Tangia miaka ya mkoloni aliwekeza ustaarabu na huduma za kijamii zaidi huku kaskazini.. Connection ya miji muhimu east africa chini muingereza na mjerumani ilikuwa Kilimanjaro, Arusha na Nairobi.. Maskini ni huko Mwanza ambako wenyewe hapa mmekiri mlijengewa mji wenu kwa upendeleo wa Mkapa.. Huko hata rami imefika juzi tu wakati Dar-Moshi-Arusha rami tangia miaka ya 80 huko tayari ilishaunganisha hii mikoa.

Maana ya umaskini ni mji wenye watu Million 3 kukusanya Billion 117 wakati mji wenye watu laki 8 unakusanya Billion 242.. Yaani kama Arusha ingekuwa na hao watu Million 3 basi tungekuwa tunakusanya Billion 907 kwa mwaka... There are bunch of unproductive cunts huko milimani... I did the math, it checks well
 
Hawa ni watu wa kilimanjaro na wakiwa na makabila 8 k.v wamachame wasiha wakibosho wamarangu warombo wa old moshi kwa pamoja wakijiita wachaga ndo wanapenda sana haya mambo ya kutaka kujionyesha kuwa wao ni bora na zaidi kuliko watu wengine hapa Tz.

Wana ukabila na wapo tofauti kabisa na makabila mengine ya kitanzania .

Wao ni wa kenya asilia mana ndo tabia zao zinarandana nao.
Mana kenya ukabila ndo kwako na mtu mwiko kuitwa majina yote mawili ya kikristo.
Lazima moja la kikabila ni wanafahamiana kwa muonekano ni kamaa umuonavyo mchaga lazima umtambue.

Hawa jamaaa walikuwa Tanzania bahati mbaya pale Nyerere alipompa Kenyata bandari ya Mombasa na yeye akakubali Mt Kilimanjaro kuwa Tanzania ndo wachaga wakawa hapa kwetu.

Makabila yote Tz yana utu ila wachaga hawana utu kwako ni pesa mbele.

Kama hauna pesa afu upo mbali kwenu kilio kikitokea haupati taarifa.

Ukiwa mkubwa nyumbani hauna hela mdogo wako akija na ndo mwenye hela ww mkubwa utaambiwa ukamate kuku kaka yako achinjiwe
Hii mada ni ya Arusha na Mwanza, wachaga kwao ni moshi, mbona unawaandama hapa?
 
Mtoa mada huna uelewa wa kutosha juu ya mada uliyoianzisha. MWANZA ni level nyingine. Kuilinganisha na Arusha ni uduni wa fikra na uelewa.
Vipi kuhusu makusanyo ya kodi, small is beautiful.
 
Uyo ni kubwa jinga hta uwezo wake wa kufikr ni mdogo. Anajisifia et anajua stareheee. Ndyo maana nkasema atakuwa ni mpare katokea kule vijijini moshi sasa kufika arusha anajiona kma vle kafka NY. Naona hta ubongo wake umeexpire. Kesho ukiletwa uzi kat ya Dar na Arusha mtamuona tu lazma atetee ujinga.

Nimemsoma muda mref anajifanya anajua kutoa data ila kaulizwa atoe data ibayoonyesha mjimkubwa wa 2 TZ ni arusha kaanza kutililika povu.
Wapare wamefikaje tena huku...mbona hapa tz kabila maarufu kwa ushamba ambao huwa wanaambiwa wakifka mjini waulize lipo mwanza,,,,in fact ndio kabila lenye wakazi wengi zaidi hapo mjini sasa unaanzaje kuwaona wapare washamba.
 
Huyo jamaa anazingua, eti amerent room hapo Florida anasema anaijua Chuga, dah...tatizo raia from Mwanza wana inferiority complex......Tell em Arusha is one of the niciest place to live in east Africa. Arusha all time
 
hizi mada zinagawa watu kikanda na kikabila, kuna mada nyingine ya moshi vs dodoma, hazina tija...watu wa maeneo tajwa wana ego kubwa na wasiokubali kushindwa sasa watapambana na huu uzi utatembea hadi basi
Yes Mimi pia nafikiri kuna kitu kinaendelea, kuna mada nyingi za namna hii. Ndio, inaleta chachu ya kupenda kufuatilia miji ikoje na kama fursa inakuwepo kuwekeza basi watu wataona na wawekeze wapi kulingana na mambo yanayoibuliwa hapa. Hata hivyo, nikiangalia naona kama inapelekea kuwataja watu wa sehemu Fulani na wa aina Fulani wako hivi na wengine wako vile, ndivyo inavyo sense. Na ukiangàlia reply watu wanajilinda zaidi na maeneo yao. Hili ndilo linalogawanya watu, sio zuri.
 
Mtoa maada nakuunga mikono yote nimekaa mwanza kwenye miaka ya mwanzoni mwa 90, jiji lilikuwa moto halikuachwa mbali sana na dar nimeenda juzi nimeshangazwa kuona mwanza inaachwa na arusha kwa uchangamfu na maendeleo!
Mkuu upo sawa kabisa hii kitu unaweza kuishuudia pia kati ya mji wa shinyanga na mji wa kahama
 
Ni wakati muafaka kwa sasa mwanza city council kuwekeza kwenye hotel za kitalii kuanzia nyota 4 kando ya ziwa and above,pia kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano wa kimataifa ni aibu vyote hivyo havipo jijini wakati mwanza is near to serengeti na hifadhi zingine za western,uwanja wenyewe magumashi jamani wekeni heshima ya jiji
 
Lakini mwanza wakisema wasubiri wawekezaji pekee watapigwa zaidi na Arusha kozi arusha kuna matajiri wengi wenye uwezo mkubwa,arusha iko backed na serikali na ni mji maarufu.Mfano serikali kupitia AICC,Foreign ministry na wizara ya maliasili wanapanga kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano,hoteli za kitalii na malls pale njiro kwenye kiwanja kimoja,kwa hali hii mwanza itashindanaje nao?
 
Ushauri mzuri japo pesa tatizo
 
Miji hii tumeijenga makabila Yote.Acheni dharau za kipuuzi.
 
gal-8.jpg
untitled.png

Malaika hotel mwanza hiyooooooooooooo
 
Attachments

  • untitled.png
    untitled.png
    10.8 KB · Views: 61
  • gal-8.jpg
    gal-8.jpg
    4.9 KB · Views: 55
  • gal-3.jpg
    gal-3.jpg
    6.2 KB · Views: 64
  • gal-3.jpg
    gal-3.jpg
    6.2 KB · Views: 67
Lakini mwanza wakisema wasubiri wawekezaji pekee watapigwa zaidi na Arusha kozi arusha kuna matajiri wengi wenye uwezo mkubwa,arusha iko backed na serikali na ni mji maarufu.Mfano serikali kupitia AICC,Foreign ministry na wizara ya maliasili wanapanga kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano,hoteli za kitalii na malls pale njiro kwenye kiwanja kimoja,kwa hali hii mwanza itashindanaje nao?
Ile Project ya Three Lane from Taveta to Namanga ikiisha hii miji ya Moshi na Arusha ndio itakuwa Tourism Hub ya Tanzania na East Africa kwa ujumla.. Kwa sababu Wakenya nao wanaplan kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege kule Taveta.. Moshi na Arusha zitazidi kuchanja mbuga huko Mwanza ikiendelea kujikongoja kidogo kidogo.. Waombe sana Mzee Magu apaangalie huko nyumbani lakini kusema kweli kabisa Mwanza sasa kuendelea kwa kasi ni ngumu ukiangalia pia imetenganishwa na Geita..
 
Back
Top Bottom