FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Siongei tena,,,,,,,,,,,,, Mt mwenyew anachekacheka tu
Hapana niwekee link inayosema hayo uliyosema ndio uache kuongea na mimi
Siongei tena,,,,,,,,,,,,, Mt mwenyew anachekacheka tu
Kama huelewi nyamaza hujalazimishwa kuchangia..
Pia opposite na kanisa katoliki St. Theressa barabara ya Sokoine kuna garden paleSehemu za kupumzika zipo kwa mbele ya palace hotel,,sokoine road upande wa kushoto inatazamana na NBC bank,na pembeni ya mzunguko wa impala au ulitaka mji mzima uwe ni garden tu za kupumzikia..next time ukija arusha omba utembezwe
Milungi nadhani inakuendesha sasa
Pia opposite na kanisa katoliki St. Theressa barabara ya Sokoine kuna garden pale
Hapo arusha katkat ya JJ kunahotel gani Kali ya kuweza kujisifia hebu nijuzen
Wewe hata Arusha hupajui.. Na hapa hatuongelei hotel mbona.. Haya Arusha mjini kabisa kuna Naura Springs, Mount Meru Hotel, Arusha Hotel, Kibo Palace, Impala Hotel, Safari Hotel... Haya sasa unataka tukuwekee picha??
Una choo hapo milimani au na wewe unakunya ziwani???
Katika hzo hotel ulizozitaja kama mount meru kuna hata moja inaweza kuifikia malaika beach ya mwanza.mi hzo zote nazijua hyo kibo ipo karibu na impala hyo mount meru IPO njia ya kuelekea moshi .mi mji na hotel nying za arusha nazijua zaid yako
Kashfa nyingi wakati umaskin umekujaa.we nibwana mdogo sana kwangu kimaisha.mi ninaishi BWIRU.usishabikie tu na kudharau watu ovyo.umaskin utakumaliza
Mimi umaskini umenijaa ni kweli lakini wewe huko milimani una choo au unakunya mtoni na kufulia maji hayohayo uliyonyea
Ukibishana na kichaa utaonekana na wewe kichaa.kula gomba kijana .
Unavuta sigara ama unatafuna cha kenya maana umezidi kutukana utafikiri unaghorofa lako hapo ArushaHahahahahahaha UN wamesema watu wanaoishi kama watu Tanzania ni Arusha, Kilimanjaro na Dar pekee... Wengine wanaishi kama ngedere tu hahahahaha ni ngumu kusema ila ndio ukweli
Unavuta sigara ama unatafuna cha kenya maana umezidi kutukana utafikiri unaghorofa lako hapo Arusha
Umezidi ushabiki halafu unaongea pointless, tunakuangalia tu nenda mwanza ukapaone then uje uombe radhi kwa matusi yako. Unabishia kitu usichokijua na matusi hovyo hovyo. Tukikaa kimya unashangilia eti umeshinda sie ni wastaarabu tunajua una mapenzi na Arusha ngoja uendelee kuamini kuwa arusha ipo juu.Vipi huko milimani una choo au na wewe unakunya ziwani???
Umezidi ushabiki halafu unaongea pointless, tunakuangalia tu nenda mwanza ukapaone then uje uombe radhi kwa matusi yako. Unabishia kitu usichokijua na matusi hovyo hovyo. Tukikaa kimya unashangilia eti umeshinda sie ni wastaarabu tunajua una mapenzi na Arusha ngoja uendelee kuamini kuwa arusha ipo juu.
Hahaha unataka fisadi ajinyonge [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hadi tunakwenda mitamboni mda huu matokeo ni Mwanza 71% na arusha ni 29%. Pambano bado linaendelea ila naona wachezaji kama wamechoka. Tuendelee kuwa na subira ndugu watazamaji.
Tutarudi badae kuweza kuwapa matokeo zaidi.
Note:
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Asanteni