MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
- Thread starter
- #1,161
Hehehe ktk ubora wakonaKuelewa huo upuuzi alioandika?? Mara aseme tuongelee Jiji sasahivi amegeuka anaongelea Meru ambako sio Jiji... Sasa mtu kigeugeu namna hiyo unamwona ana akili sawasawa?? Mwanza is less important maana population yake na ukubwa wake havirandani na kodi inayokusanywa.. Hutaki saga chupa unywe ukabishane na mashetani
Wengi husema Arusha ndio kunako patikana Mafisadi wakubwa na wezi Serikalini
Kuliko mahala popote Tanzania
Vipi hilo