Arusha ilikuroga eti?
Kunawatu humu wanajifanya wanajua data sana. Tena hwa unakuta wamo humu wanajifanya wanajua mikoa wakati hta hwajawai toka nje ya mikoa yao.
Kapanic huyoMi huu Uzi sijauelewa mnaongelea nn.maana mm nilijua kinachozungumziwa ni majiji.ukiongelea mahotel.mahotel meng ya arusha hayapo ndan ya jij.ukiongelea km za mraba za jj la arusha na mwz mwz ni kubwa.mkifananisha mahotel bora tz yapo Serengeti sio arusha.kuongelea mawe mwz n sawa na kusema misitu na mashamba ya kahawa arusha.ss mm sielewi ugomv upo wapi mpaka mnatukanana .
Ndyo wale wale unaojua kujifanya mnajua data. Swala kodi haliwezi kuwa kigezo kikubwa kujudge development ya mkoa flani. Ingekuwa ni kweli basi Arusha ingekuwa mara 2 ya mkoa wa mwanza kimaendeleo kutkana na izo data "zoko" lakini bado hya haijafikia mwanza.Wewe binti nilikupa link ya TRA umeshaenda huko kujiangalizia Mwanza ilipo???
Hivi unakumbuka ile muvi ya yule mtasha alifanya research mwnz yan watu hawali samaki wanakula mapanki samaki zinaenda mbele mwanza oyeeVipi huko milimani una choo au na wewe unakunya ziwani???
Hivi unakumbuka ile muvi ya yule mtasha alifanya research mwnz yan watu hawali samaki wanakula mapanki samaki zinaenda mbele mwanza oyee
Kiswahil chenyewe chengaa, au shule kaka?Milungi nadhani inakuendesha sasa
Mwanza lazma iwe kubwa coz ina manispaa mbl na watu wengi but chakushangaza arusha inakusanya kodi nyng na gdp iko high mamyNdyo wale wale unaojua kujifanya mnajua data. Swala kodi haliwezi kuwa kigezo kikubwa kujudge development ya mkoa flani. Ingekuwa ni kweli basi Arusha ingekuwa mara 2 ya mkoa wa mwanza kimaendeleo kutkana na izo data "zoko" lakini bado hya haijafikia mwanza.
Na maeneo ya palace hotel, karibu na round about ya BOTPia opposite na kanisa katoliki St. Theressa barabara ya Sokoine kuna garden pale
Bush mkuu not Obama....Ata mkatae arusha is best than kwenu tuangalie ata mvuto tu cliton alikuja arusha obama nae kaja kwann hawakuja mwanza? wote apo hamna ata hotel ya maana dat y...
Utakuja kuwauwa hawa waskuma mku!Hivi mkuu @mchomejr unajua AICC wanaanza ujenzi wa Ukumbi mkubwa Africa Mashari na kati wa mikutano utakaoitwa The Kilimanjaro International Conference Centre....?? Utagharimu karibu billion 210 za Kitanzania maeneo ya Njiro..??
Yeah apo nmemx mafile kdgoBush mkuu not Obama....
Tuma picha za unapoishi wewe au za nyumba yako sio kupigapiga pics apa za nyumba za watu.Kijenge
![]()
Tuliwaambia wembe huu ni mkali msiuchezee..Wakalilia tukawapa..Tumewaangalia waka-post vipicha vikawaishia..Tukaanza waporomoshea mangasto ya hatari wakakimbia...Utakuja kuwauwa hawa waskuma mku!