daud donasian
Senior Member
- Nov 6, 2015
- 101
- 33
Asilimia nyingi ya watu wa arusha ni waarusha, wa meru, wa chaga, wa rangi, wa iraq, wa nyaturu na wanyiramba. Wa masai wengi wao sio wazawa wa arusha kuna tofauti kati ya masai na mwarusha, arusha kuwa na wazawa wa kichaga ni rahisi kutokana na geographical location ya miji hii......90%Ya wamasai ni waruraji mikoani. Kiuhalisia arusha inajengwa na wachagga kwa asilimia kubwa. Mwanza huijui. Hahahahaha wala sitokwi na povu jiamini.
Waskuma hamuendelei kwa sababu ya muingiliano hafifu
Asilimia zaidi ya 80 ya watu wanao ishi mwanza ni waskuma maendeleo yanatoka wapi!!!
NB. Mandeleo sio majengo tu hata elimu nayo ni kati yanja muihimu kwenye mendeleo.
Tatizo La mwanza hata kam kuna mapambano ya maendeleo wana rudishwa nyuma na provincialism