Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Arusha haijawahi kuwa maskini.. Tangia miaka ya mkoloni aliwekeza ustaarabu na huduma za kijamii zaidi huku kaskazini.. Connection ya miji muhimu east africa chini muingereza na mjerumani ilikuwa Kilimanjaro, Arusha na Nairobi.. Maskini ni huko Mwanza ambako wenyewe hapa mmekiri mlijengewa mji wenu kwa upendeleo wa Mkapa.. Huko hata rami imefika juzi tu wakati Dar-Moshi-Arusha rami tangia miaka ya 80 huko tayari ilishaunganisha hii mikoa.
Maana ya umaskini ni mji wenye watu Million 3 kukusanya Billion 117 wakati mji wenye watu laki 8 unakusanya Billion 242.. Yaani kama Arusha ingekuwa na hao watu Million 3 basi tungekuwa tunakusanya Billion 907 kwa mwaka... There are bunch of unproductive cunts huko milimani... I did the math, it checks well
Jana niliondoka Naona nimepitwa mengi.
kwa kukusaidia tu ndugu yang jiji la mwanza lina watu wasiofika hata million 1. Data za watu million 3 unatoa wapi? nafikiri mtoa hoja ameleta hoja ya jiji la mza Na jiji la arusha.
bajeti ya jiji la arusha ya 2016/2017 Ni billion 109.
mwanza jiji (nyamagana + ilemela) Ni billion 141.2
inakuwaje bajeti ya mza Ni kubwa Na ya arusha Ni ndogo wakati makusanyo ya arusha Ni mengi?
mnijibu kwa lugha nzuri sio Matusi hapa tunaeleweshana.