samyz
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 589
- 311
Mwanza ni zaidi coz ina manispaa mbl ina ziwa victoria ina watu wengi..Wewe maskini uiashie milimani pitia huu uzi wote tumeweka fact na maambatanisho yote muhimu yanayoonyesha Arusha kuna maisha bora kuliko Mwanza.. Tumeweka sources kutoka TRA, UN, NBS zote zimeiweka Arusha mbele ya Mwanza... Wewe tuwekee source moja tu inayoonyesha Mwanza ni zaidi ya Arusha..