Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
mwanza
Hivi mna uhaba wa ardhi??? Mbona vinyumba vimejibana bana hivyo??mwanza
![]()
mwanza
![]()
Kuna jamaa alisema Arusha ni Njiro alafu Njiro yenyewe haina barabara sasa sijui wao kule Milimani barabara zipo hahahahahahahahahaha![]()
lapf project satelite city at burka
acha wenge jombaa nimemjibu jamaa kutokana alivyoandika sasa kama unakurupuka kuninukuu bila kujua nilianzia wapi kumjibu lazima ujivuruge kama hapo juu...
btw ni juhudi za wazawa kuuendelaza mji ndio umepelekea serikali kuweka hayo majengo ya hayo mashirika labda nikuulize kwanini wasingeweka singida au geita? au hiyo barabara ya arusha to mshi/taveta holili isingeanzia moshi tu,?
We si unaishi mbinguni hujui vumbi mkuuTeh teh teh....wala vumbi bana.
Sasa mnatambiana nini nyie..? Mavumbi na matope?
Huyo achana nao tuWe si unaishi mbinguni hujui vumbi mkuu
We si unaishi mbinguni hujui vumbi mkuu
Ukifaa huozi?USA baby....