Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Insta-image.jpg
Just to show you how mwanza is..,
 
Sehemu imejengwa inaonekana vzur sio unajenga nyumba na mimawe inaeka show mbaya
Alafu wanasema eti mitaa ya Arusha mibaya hahahahaha.. Sasa hapo Capri Point haifikii hata Shanty Town ya Moshi
 
Oky zimetoka ziwa victoria upande wa musoma nmeconclude mkuu
Maana upande wa Mwanza wameisha ama...?! Na hawawezi kuvuka kuja Mwanza kutokea kipande cha Musoma...

Labda kwa kukusaidia tu kipande kikubwa cha ziwa kinapatikana Mwanza na asilimia kubwa ipo ziwani ya eneo ndio maana hadi uwanja wa ndege upo karibu na ziwa...
 
hahahahahahaaaa ndio matajiri wanakaa huko?? Wanaishi na mawe
Hii ni sehemu tu ya capri point, honestly kwa aliyefika miji yote miwili, atakuwa na elewa dhahiri kuwa Arusha ipo juu kwa kuwa na hotel za kisasa na si miundo mbinu, kupangika kwa mji, wingi wa majengo, upana wa mji, wepesi wa huduma za kijamii, wepesi wa maisha n.k
 
Wepesi wa huduma za kijamii??? Mna hospital ngapi zenye hadhi hapo zaidi ya Bugando????
 
Hii ni sehemu tu ya capri point, honestly kwa aliyefika miji yote miwili, atakuwa na elewa dhahiri kuwa Arusha ipo juu kwa kuwa na hotel za kisasa na si miundo mbinu, kupangika kwa mji, wingi wa majengo, upana wa mji, wepesi wa huduma za kijamii, wepesi wa maisha n.k
Acha kudanganya wewe... Kodi mnapitwa mbali sana na kamji kadogo chenye population ya watu laki 8 tu wakati Mwanza mpo Million 3... Mwanza hamjaizidi Arusha kwa chochote... Huduma za kijamii hakuna huko milimani na wakati 70% ya wakazi wa Mwanza wanaishi huko...

Ebu soma hapa.. Asilimia 70 ya wakazi Jiji la Mwanza wanaishi milimani
 
Hospitali yenywe ya mkoloni..
Huko milimani watu wanalalamika hakuna huduma yoyote ya kijamii na kama mtu akiumwa ghafla huwa wanapiga filimbi ili watu wakusanyike wamsaidie kumbeba mpaka mjini hahahahaha yaani jamaa bado wanaishi primitive life alafu hapa kelele nyingii
 
Saiv mji unahamia usa tengeru ngaramtoni moshono mromboo na kisongo inakuja kwa viwanda
Alafu wapo busy kusema Arusha mji mdogo wakati ukidrive Arusha to Moshi sehemu ambayo haijajengwa ni ile hifadhi ya ardhi ya KIA pekee...
 
Back
Top Bottom