Watu kama hao unaachana nao tu hupaswi hata kujisumbua kuwajibu... Atapiga kelele mwenyewe mwishowe atatoka na aibuWe si unaishi mbinguni hujui vumbi mkuu
Umekazana USA baby, rudi kwenu Bariadi...USA baby....
Atatuaribia uzi wetu achana nae..Umekazana USA baby, rudi kwenu Bariadi...
Kumbe Nyerere alikuwa ni mkoloni...?!Hospitali yenywe ya mkoloni..
Umekazana USA baby, rudi kwenu Bariadi...